spiritual hero
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 354
- 64
Sio tatizo lako bangi ndio zinakusumbua.
Ukiacha kuvuta bangi na kunywa viroba utaona mabadiriko makubwa sana.
ahsante sana mtoa uzi. sio vzuri kabisa na ni ishara ya uvunjifu wa amani.binafsi sijawahi kuzomea mtu. ila nilishuhudia watu kadhaa wakizomewa. kiukweli nilifarijika sana. nilijisikia vizuri sana kuona wanaccm wakizomewa. lakini nakiri kuwa sio jambo zuri hasa kwa nchi yetu hii tamu.