Simnatuita Wanywa Viroba! Zomea Haooo Majiziiii Oooooooooo!
Mtu anayekuona makapi/mnywa viroba/Mamluki/Majambazi unawezaje kumvumilia?Na wazomewe tu,maana hamna namna sasa
Wakikuzomea pia utakasirika.
Na hapo ndio mwanzo wa uvunjifu wa amani.
Sio lazima wote wawe na itikadi sawa na yako.
Jambo hili likiachiwa litaenea pia katika tofauti za kidini na kabila.
Katiba inazuia mtu yeyote kutukanwa, kudharauliwa au kubaguliwa kutokana na jinsi yake, dini, kabila au itikadi.
Huu ni ubaguzi mbaya unapaswa upingwe na wote katika CCM na UKAWA. Unarudisha nyuma dhana ya kuwa na vyama vingi vya siasa, uhuru wa kujumuika na kushusha hadhi ya utu.
Hohohohooo acha tu mkuuaisee minaona hakuna namna nyingine we umeambiwa ccm wamechoka unakaidi unavaa nguo zao hakuna jins uzomewe tuuuu!!!!
Tumechoka sasa,maana hamna namna.Wazomewe tuHuwezi kurekebisha kosa kwa kufanya kosa kamanda