UKAWA tuache Kuzomea Wavaa Nguo za CCM

UKAWA tuache Kuzomea Wavaa Nguo za CCM

Mtu anayekuona makapi/mnywa viroba/Mamluki/Majambazi unawezaje kumvumilia?Na wazomewe tu,maana hamna namna sasa
 
Kwenye kujitambua Na kuielew siasa hafanyi ujinga huo
 
Wanaovaa nguo za ccm wanazomewa na wapenda mabadiliko watu wamechoka na ccm wanataka mabadiliko usisingizie wana ukawa ccm inazomewa na wapenda mabadiliko
 
Lowasa aliwaambia mjitahdi kuwa wastaarabu.Anajua kuwa nchi haiwezi kabidhiwa kwa wahuni.Na tabia hzo zinazidi kuwafanya jamii iwaone msio kuwa na sifa ya kuongoza nchı.

Hata ww nakuzomea hiloooooo!
 
Imekuwa kero sasa hususan katika miji mikubwa kuona au kusikia zomea zomea kutoka kwa wapenzi, wanachama na mashabiki wa muungano UKAWA kwa wananchi wanaopita mitaani hali wamevaa nguo za CCM. Hili la kuzomea si sahihi kwa kuwa sio lazima wote tuwe wana UKAWA. Tuwasamehe na kuendelea kuwa wastaarabu kwa kuwa tunafanya kampeni za kistaarabu.Najua ni vigumu kuendelea kuona nguo za ccm au ccm yenyewe lakini mwisho wa yote tutaishi ndani ya Tanzania yetu tukiwa tofauti kiitikadi japokuwa ccm watakuwa wachache sana ama hakuna kabisa. Tuwaache na ubaya wao na maangamizo ndani ya mioyo yao kwa kukataa ukweli wa kukataliwa na wapenda mabadiliko. Suluba ya UKAWA inawatosha tusiwaumize zaidi.

Elimu nzuri. Tuwapinge kwenye sanduku la kura. Wakati mwingine tunawapa fursa za bure ccm kusema wapinzani ni vijana flani wahuni. Delete futa kabisa hii tabia
 
Haya mambo ya kuzomea au kutukanana kwa wapinzani ni dalili za utoto wa kimawazo na demokrasia bado haijakomaa .
Hata kama tuna maoni tofauti lakini wote ni watanzania na lengo letu bado liwe kujenga taifa pomoja kwa misingi ya kuheshimiana, haki na umoja.
 
yaan najaribu ku imagine mtu ambaye ni mropokaji, matusi kwake ni kama sala,kupenda kurusha ngumi hovyo( akipewa dola atarusha bunduki& pastola) , anayebisha nakupinga jambo lolote lenye tija ili mradi limeletwa na upande wa pili, tunawapaje nchi???? ni kama tutakuwa hatujitambui.
mtu gani asiyeweza bishana kwa hoja?? akisema amesema....
.
 
Back
Top Bottom