UKAWA tuache Kuzomea Wavaa Nguo za CCM

UKAWA tuache Kuzomea Wavaa Nguo za CCM

Mtu mwenye akili timamu hawezi kuzomea watu kisa nguo.

Ni lazima kiroba kiwe kichwani.

Tatizo tafiti zenu mnazifanyia nyuma ya keyboard! Inamaana unataka kuniambia wale wote wa Ubungo/Kariakoo wamekunywa viroba!? Kafanye utafiti Kariakoo utajua kama ni viroba au wanafanya kwa kuchukizwa na yafanyayo na maccm!
 
Mi sizomei ilanikimuona naskia kichefchefsana natamani asipite karibuyangu.
 
CCM acheni uchonganishi mnatutumia sms gani hizi wasukuma uzuri tukisema yaya mlifikili yaya toure msiingize nchi kwenye machafuko ya kikabila huu ni upuuzi "msukuma zindukeni mteteeni Magufuli mpaka mwisho. Wenzenu wamasai na waarusha nchi nzima wamekaa vikao na kukubaliana kumtetea mwenzao Lowasa. Wanasema hawawezi kutawaliwa na Msukuma-Magufuli. Wasukuma tukataeni nasi tujiungeni tumtetea Msukuma mwenzetu. Magufuli Oyee! Tuma kwa wasukuma wote."
 
Naunga mkono hoja kwangu wazazi na wife ni CCM, ili UKAWA iweze kukabidhiwa nchi hiyo October 25 lazima kwanza ithibitishe uwezo wa managing political diversity kwa kuwastahimili hata wale ambao haikubaliani nao, kwa sababu 90 % ya watumishi wa umma ni CCM. 99.9% ya vyombo vya ulinzi na ualama ni CCM, UKAWA has to take them on board and live with them.
Pasco

Si kweli kwamba 90% wanaikubali CCM labda 25%
 
Wanaozomea si ukawa bali ni Watanzania. Kama hampendi basi na CCM waanze kuzomea waliovaa nguo za ukawa tuone kama watu wengine watasapoti
 
Tupe uthibitisho kwamba wanazomewa na wana UKAWA.
Hawa wanazomewa na wananchi.
 
Back
Top Bottom