UKAWA the geniusity of minority

UKAWA the geniusity of minority

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,961
Mimi kama mzalendo wa taifa langu mwenye kuelewa nini maana ya haki,utawala bora,demokrasia,sheria ,utu,upendo na falsafa za hekima na busara niko radhi mwanangu wa pili nimpatie jina "ukawa locken" maana i feel pride kuwaona watu wachache wenye hofu ya Mungu kutetea haki ya wanyonge ilhali wengi wenye ngozi ya kondoo kunufaika kwa migongo ya kiini macho na propaganda.

Kiukweli CCM kwangu ni kama dhambi ni kama moto wa jehanamu ila upinzani ni amani ya nafsi,furaha ya moyo na raha katika maisha yangu maana hufanya uhalisia katika maisha halisi sio maigizo kwenye uhalisia.

Serikali yangu mimi naijua mwenyewe binafsi,rais wangu namjua,Tanganyika naishi ila Mungu hatowasahau wema milele.
 
Ila bado sana kwa kuwa aslilimia kubwa ya jamii haielewi haya,haielewi hata haki zao za msingi inasikitisha sana kwani hata wale wachache wanaojitolea wasipopata support wanakuwa na wakati mgumu sanahebu fikiria kuna mijitu inaona upinzani kutoka ni swala baya.
 
Watanzania wanaelewa; naamini hawatayumba kuhusu haki yao ya kidemokrasia. Wewe hapo ulipo ni chachu ya kufikia haki hiyo ya kidemokrasia kama utasimamia imani yako juu ya haki yako hiyo na ya wengine.
 
mimi kama mzalendo wa taifa langu mwenye kuelewa nini maana ya haki,utawala bora,demokrasia,sheria ,utu,upendo na falsafa za hekima na busara niko radhi mwanangu wa pili nimpatie jina "ukawa locken" maana i feel pride kuwaona watu wachache wenye hofu ya mungu kutetea haki ya wanyonge ilhali wengi wenye ngozi ya kondoo kunufaika kwa migongo ya kiini macho na propaganda ,kiukweli kikiem kwangu ni kama dhambi ni kama moto wa jeha ila upinzani ni amani ya nafsi,furaha ya moyo na raha katika maisha yangu maana hufanya uhalisia katika maisha halisi sio maigizo kwenye uhalisia,serikali yangu mi naijua mwenyewe binafsi,rais wangu namjua,tanganyika naishi ila Mungu hatowasahau wema milele
Wapumbavu na malofa wakubwa. Sioni maneno mbadala wa haya!
 
Uwiii Yesu na Maria! Jamani yule Mzee wa UBUNGO kafufua MSUKULE MWINGINE huu hapa utambueni..unakwenda na JINA LA REALITY....someni UTUMBO wake hapo juu....
 
dunia sivyo uinavyo be keen in your journey
 
ni kweli kupiginia haki zote za msingi but just imagine ukawa wangeshinda urais na ccm kuwa wapinzan wao, je huyo mwanao ungemuita ccm locken?
 
Endelea kushabikia uozo. Uzuri Watanzania walio wengi wanajua kuwa wapinzani wa UKAWA ni wahuni tu na hamna maana yoyote kwa taifa vilaza nyinyi.
 
unajua kusoma na kuelewa?samahani lakini
 
MPUMBAVU WEWE, MNACHUKUA POSHO, MNAFUNGA SAFARI KWENDA BUNGENI, MNAFNYA UCHAGUZI WA SPIKA, NAIBU SPIKA, WAZIRI MKUU( MTEULIWA WA RAIS) , KISHA ANAINGIA RAIS MNAZOMEA NA KUPIGA KELELE?? KISHA MNAENDA BAA KUMALIZIA HOTUBA

TRUE GENIUSITY OF MINORITY NI KUWAAMBIA WANANCHI HAMKUBALIANI NA ZANZIBAR, HAMUMKUBALI MAGUFULI, HAMCHUKUI POSHO NA BUNGENI HAMUENDI!! THAT WAS EXCACTLY YOU WERE SUPPOSED TO DO

OTHERWISE NI UPUMBAVU NA KUDANGANYA TOTO

hope umeelewa sasa

acha kuwa na akili nyembamba
 
Endelea kushabikia uozo. Uzuri Watanzania walio wengi wanajua kuwa wapinzani wa UKAWA ni wahuni tu na hamna maana yoyote kwa taifa vilaza nyinyi.

nimekuelewa unakingine mkuu
 
Endelea kushabikia uozo. Uzuri Watanzania walio wengi wanajua kuwa wapinzani wa UKAWA ni wahuni tu na hamna maana yoyote kwa taifa vilaza nyinyi.
wahuni ni wale wanaofuta matokeo ya Zanzibar wakati kura za Zanzibar kwenye Urais wa jamhuri ni halali na bado wanaapa kuulinda muungano watanzania wengi washaamua bora liende ila kuna siku watasimama na kudao Tanzania yao watu kama wewe ndio mtajua kuwa nchi sio ya mama yenu
 
mimi kama mzalendo wa taifa langu mwenye kuelewa nini maana ya haki,utawala bora,demokrasia,sheria ,utu,upendo na falsafa za hekima na busara niko radhi mwanangu wa pili nimpatie jina "ukawa locken" maana i feel pride kuwaona watu wachache wenye hofu ya mungu kutetea haki ya wanyonge ilhali wengi wenye ngozi ya kondoo kunufaika kwa migongo ya kiini macho na propaganda ,kiukweli kikiem kwangu ni kama dhambi ni kama moto wa jeha ila upinzani ni amani ya nafsi,furaha ya moyo na raha katika maisha yangu maana hufanya uhalisia katika maisha halisi sio maigizo kwenye uhalisia,serikali yangu mi naijua mwenyewe binafsi,rais wangu namjua,tanganyika naishi ila Mungu hatowasahau wema milele
Wewe ni shetani na unamawazo ya kishetani na unawaza kama alivyosema mzee mkapa kuwa wapinzani ni malofa na wapumbavu. Ukawa wangekuwa wa maana tu iwapo;
1.Wasingekaribisha mwizi waliyesema ni fisadi
2. Baada ya kushindwa uchaguzi wangekubali matokeo na kukubali kushirikiana na Dr Magufuli bila kujali itikadi
3. Leo hawakuwa na haja ya kuzomea na kupiga kelele utafikiri wamevaa pampas wote

kwa ufupi CCM kwa sasa ndiyo chama pekee chenye kubeba matumaini ya watanzania. Wapinzani sasa ni wanaharakati wanasubiri CCM ikosee waseme , yaani wanaishi kishetani shetani (maana shetani huwa hamuwezi mtu wa Mungu ila husubiria akosee ili amshambulie)
 
MPUMBAVU WEWE, MNACHUKUA POSHO, MNAFUNGA SAFARI KWENDA BUNGENI, MNAFNYA UCHAGUZI WA SPIKA, NAIBU SPIKA, WAZIRI MKUU( MTEULIWA WA RAIS) , KISHA ANAINGIA RAIS MNAZOMEA NA KUPIGA KELELE?? KISHA MNAENDA BAA KUMALIZIA HOTUBA

TRUE GENIUSITY OF MINORITY NI KUWAAMBIA WANANCHI HAMKUBALIANI NA ZANZIBAR, HAMUMKUBALI MAGUFULI, HAMCHUKUI POSHO NA BUNGENI HAMUENDI!! THAT WAS EXCACTLY YOU WERE SUPPOSED TO DO

OTHERWISE NI UPUMBAVU NA KUDANGANYA TOTO

hope umeelewa sasa

acha kuwa na akili nyembamba

elimu elimu elimu
 
Utakimbia sana na utawakimbia wote kadiri unavyoweza lakini huwezi kujikimbia mwenyewe
Wanaonyesha jinsi gani njaa inavyowasumbua
 
MPUMBAVU WEWE, MNACHUKUA POSHO, MNAFUNGA SAFARI KWENDA BUNGENI, MNAFNYA UCHAGUZI WA SPIKA, NAIBU SPIKA, WAZIRI MKUU( MTEULIWA WA RAIS) , KISHA ANAINGIA RAIS MNAZOMEA NA KUPIGA KELELE?? KISHA MNAENDA BAA KUMALIZIA HOTUBA

TRUE GENIUSITY OF MINORITY NI KUWAAMBIA WANANCHI HAMKUBALIANI NA ZANZIBAR, HAMUMKUBALI MAGUFULI, HAMCHUKUI POSHO NA BUNGENI HAMUENDI!! THAT WAS EXCACTLY YOU WERE SUPPOSED TO DO

OTHERWISE NI UPUMBAVU NA KUDANGANYA TOTO

hope umeelewa sasa

acha kuwa na akili nyembamba

Hivi unadhani waliowachagua hawalipi kodi!? Kama wanalipa kodi basi ukawa ni haki yao kuchukua posho maana posho za wabunge zinatoka katika kodi za watanzania wote na wala hazitoki kwa wanachama wa CCM pekee.
 
Back
Top Bottom