UKAWA na wapenda mabadiliko...ikitokea Shetani akaomba ungana nanyi ktk kuiangusha CCM mkubalieni!!

lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
19,429
Likes
12,267
Points
280
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
19,429 12,267 280
Salam wanaukumbi....

Ni mwaka na masiku yameyoyoma tangu mkito wa mbwembwe na nderemo nyingi za kishabiki kwa utawala huu wa CCM upite lakini hali ya huzuni imerejea tena kwa kiwango cha kutisha!!

Mambo ktk nchi kwa ujumla hayaendi sawa, tunarejea nyuma kwa kasi kuliko kwenda mbele!! Yale tuloaminishwa pengine yakiondoka hali itatengemaa imekua tofauti....

Sasa ifike mahali watanzania wajue ni nani hasa adui wao!! Tuliimbishwa ufisadi ndio adui yetu mkuu mpaka mgombea wa CCM akajitapa kuwa mafisadi wamemkimbia... Àliposhinda ni mwaka sasa tunaambiwa ufisadi umetokomezwa lakini bado tunarejea nyuma kwa kasi kubwa kuliko kawaida!!

Sasa leo niwafumbue macho na akili kuwa adui Mkubwa wa nchi hii ni UMASKINI na UJINGA uliokithiri!! CCM miaka yote imeshindwa iondoa kwakua ndio silaha pekee iliyobaki inayowapa pumzi...

UMASKINI na UJINGA uliokithiri ndiye adui mkuu wa nchi hii ktk kupiga hatua kimaendeleo... Ili tufike mbali inahitajika nguvu kubwa kupambana navyo...
CCM haiwezi pambana na maadui hao maana ndio uhai nq pumzi yao kuu....

Sasa naamini akili zimeturudia, agenda yetu kuu iwe ni kumwondoa umaskini na ujinga na ili aondoke ni lazima CCM aondoke....

Sasa niwaombe UKAWA na washirika wenu kama mlivyofanya 2015, 2020 ikibidi hata shetani akiomba ungana nanyi mchukueni... Lengo kuu liwe kumuondoa CCM!! Mapambano ya kumwondoa CCM si lelemama!! Hivyo nguvu kubwa yahitajika.... Watanzania tuko tayari waunga mkono huyu CCM atokomee kabisa!!

SIKU CCM IKIONDOKA MADARAKANI NDIPO LAANA KTK NCHI ITAONDOKA.
 
T

Thegame

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
2,088
Likes
1,611
Points
280
T

Thegame

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
2,088 1,611 280
Kids mind!!
Nani alituaminisha adui yetu mkuu Ni UFISADI Kama sio hao Ukawa??? Kwahiyo kwasababu UFISADI mmeukubali Na kuupokea basi sio adui tena???
Kwa taarifa yako hao maadui uliowataja, Umasikini Na ujinga ambao sio maadui wapya katika bara hili la Africa, chimbuko la hao maadui Ni UFISADI!!!! Sumbua akili yako kidogo utalijua hilo!!
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,824
Likes
23,233
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,824 23,233 280
Kila siku huwa natoa mfano wa Tabora
ccm wanashinda majimbo yote
but majimbo yalivyo tu utajua kwa nini
kwanza majimbo hayana shule za high school
halafu wanajiandikisha watu 120000...lakini kura wanapiga watu 20000
na mgombea wa CCM anashinda kwa kura elfu 12 tu
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,609
Likes
17,945
Points
280
Age
19
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,609 17,945 280
Naunga mkono hoja.

swissme
 
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
19,429
Likes
12,267
Points
280
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
19,429 12,267 280
Kids mind!!
Nani alituaminisha adui yetu mkuu Ni UFISADI Kama sio hao Ukawa??? Kwahiyo kwasababu UFISADI mmeukubali Na kuupokea basi sio adui tena???
Kwa taarifa yako hao maadui uliowataja, Umasikini Na ujinga ambao sio maadui wapya katika bara hili la Africa, chimbuko la hao maadui Ni UFISADI!!!! Sumbua akili yako kidogo utalijua hilo!!
Kama akili yako haikuliwa na laana utakuwa umejiuliza why sasa hakuna ufisadi na hali ya umasiki inashamiri sana?
 
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
19,429
Likes
12,267
Points
280
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
19,429 12,267 280
Kila siku huwa natoa mfano wa Tabora
ccm wanashinda majimbo yote
but majimbo yalivyo tu utajua kwa nini
kwanza majimbo hayana shule za high school
halafu wanajiandikisha watu 120000...lakini kura wanapiga watu 20000
na mgombea wa CCM anashinda kwa kura elfu 12 tu
Then CCM wapo busy ktk kutafuta attention kule walikokataliwa!! Wanahonga pikipiki sehemu ambako hazihitajiki.... Wanapeleka neema walipokataliwa wanakuza laana walikochaguliwa ili akili zao zidumae na wawachague kila siku!!

Mikoa inayonuka umasikini na inayoichagua sana CCM hakuna cha maana wanapeleka huko zaidi yakuhamasisha upuuzi.
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,824
Likes
23,233
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,824 23,233 280
Then CCM wapo busy ktk kutafuta attention kule walikokataliwa!! Wanahonga pikipiki sehemu ambako hazihitajiki.... Wanapeleka neema walipokataliwa wanakuza laana walikochaguliwa ili akili zao zidumae na wawachague kila siku!!

Mikoa inayonuka umasikini na inayoichagua sana CCM hakuna cha maana wanapeleka huko zaidi yakuhamasisha upuuzi.
CCM base iko Ruvuma,Tabora Singida ,dodoma shinyanga....

huko wapinzani wakiweza hata 40 percent ..mchezo umeisha
 
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
19,429
Likes
12,267
Points
280
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
19,429 12,267 280
CCM base iko Ruvuma,Tabora Singida ,dodoma shinyanga....

huko wapinzani wakiweza hata 40 percent ..mchezo umeisha
Hebu angalia sasa lodilofa anavyomwendesha Sizonje... Ligi zake na JK zinaharibu uchumi wa nchi...

Akina Dangote... Mambo ya sukari na mengine mengi ni vita vyao sasa tutatoka lini?

The only way ni kuwaondoa CCM!
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,824
Likes
23,233
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,824 23,233 280
Hebu angalia sasa lodilofa anavyomwendesha Sizonje... Ligi zake na JK zinaharibu uchumi wa nchi...

Akina Dangote... Mambo ya sukari na mengine mengi ni vita vyao sasa tutatoka lini?

The only way ni kuwaondoa CCM!
Sasa Sizonje na yeye hasomi mchezo na kujua?
halafu hata Lowassa ana hisa Twiga..sasa Sizonje akikubali Dangote ife basi watafaidika hata asiowapenda
 
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
10,805
Likes
9,321
Points
280
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
10,805 9,321 280
Kila siku huwa natoa mfano wa Tabora
ccm wanashinda majimbo yote
but majimbo yalivyo tu utajua kwa nini
kwanza majimbo hayana shule za high school
halafu wanajiandikisha watu 120000...lakini kura wanapiga watu 20000
na mgombea wa CCM anashinda kwa kura elfu 12 tu
Ni kweli kamanda CHADEMA ndicho chama chenye wasomi nguli na magwiji wa kitabu nchi hii.

Watu wanaochagua CHADEMA ni watu wasomi, mabingwa wanaojielewa hakuna mjinga mjinga chaggadema.

Chama kina viongozi wasmi na wafuasi wasomi hususani wale matejoo wa chugga - Kila mmoja anadegree 2000000
 
Baba jay'rose

Baba jay'rose

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Messages
919
Likes
686
Points
180
Baba jay'rose

Baba jay'rose

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2015
919 686 180
Kids mind!!
Nani alituaminisha adui yetu mkuu Ni UFISADI Kama sio hao Ukawa??? Kwahiyo kwasababu UFISADI mmeukubali Na kuupokea basi sio adui tena???
Kwa taarifa yako hao maadui uliowataja, Umasikini Na ujinga ambao sio maadui wapya katika bara hili la Africa, chimbuko la hao maadui Ni UFISADI!!!! Sumbua akili yako kidogo utalijua hilo!!
Ovyo kabisa maskini wewe
 
T

Thegame

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
2,088
Likes
1,611
Points
280
T

Thegame

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
2,088 1,611 280
Kama akili yako haikuliwa na laana utakuwa umejiuliza why sasa hakuna ufisadi na hali ya umasiki inashamiri sana?
Hivi mkuu unajua hata maana ya umasikini??
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,405
Likes
795
Points
280
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,405 795 280
Hebu angalia sasa lodilofa anavyomwendesha Sizonje... Ligi zake na JK zinaharibu uchumi wa nchi...

Akina Dangote... Mambo ya sukari na mengine mengi ni vita vyao sasa tutatoka lini?

The only way ni kuwaondoa CCM!
Ahahahaha vita vyao vya chini wakitoka vita zao zitakua juu na wazi wakati utawala mpya utasonga mbele ujinga na vita nyingine ni hii ya wananchi ni pale wanapoambia nchi hii ni ccm ndo mikono salama wengine watauza nje na wananchi wanaamini ilo duh hii ni vita kwel kwel
 
F9T

F9T

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Messages
1,431
Likes
1,880
Points
280
Age
28
F9T

F9T

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2015
1,431 1,880 280
"TULIANZA NA MUNGU, NA TUTAMALIZA NA MUNGU." by lowasa 2015
 
Tusker

Tusker

Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
98
Likes
114
Points
40
Age
28
Tusker

Tusker

Member
Joined Jul 11, 2015
98 114 40
Tulisha waambia Mfumo ndio mbovu... Mlitaka kupatia round hii ila mlibugi kidooooogo
.kinocho tuliza ni katiba imeachwa pembeni,tunatumia akili ya mtu mmoja na viongozi wetu wanalewa madaraka
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,155
Likes
40,531
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,155 40,531 280
Shetani namba MOJA ni lusungo a.k.a uchungu, anakaribishwa ukawa
 
Forum statistics

Threads 1,272,590
Members 490,036
Posts 30,454,479