UKAWA na wapenda mabadiliko...ikitokea Shetani akaomba ungana nanyi ktk kuiangusha CCM mkubalieni!!

Tatizo ni roho ya kwa nini alonayo kilanja mkuu ya kuchukia watu walofanikiwa.......uongozi haujali haki za watu badala ya kuanza na katiba,gesi,madini na maliasili wanaanza na bomoabomoa,vibodaboda,mama ntilie,yaani vitu visivyo na future.....kweli acha Lema aote aisee!
 
Back
Top Bottom