UKAWA na KAGAME

UKAWA na KAGAME

Ruzibiza

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
562
Reaction score
123
Kwa miezi kadhaa nimepumzisha macho yangu na masikio....hii ni baada ya kutoweka habari za kagame hasa kwa midomo ya watz na badala yake ukawa ika-take over....

Nashukuru sana Mungu kwa kuzaliwa ukawa hasa Tundu na Mzee Jose Sinde....kipindi cha nyuma almost matatizo yetu yote tulimbebesha Kagame....niambieni nini mchango wa Kagame kwa mgogoro uliopo wa madai ya ukawa?

Mchawi si jirani-mchawi ni sisi wenyewe...."ujinga" kama tu wajinga kwa mambo yetu wenyewe tutakuwaje waerevu wa mambo ya jirani?shushia hutu tu mistari twa raia mwema

Raia Mwema - Ni werevu wa CCM au ujinga wa Watanzania?
 
...kipindi cha nyuma almost matatizo yetu yote tulimbebesha Kagame....niambieni nini mchango wa Kagame kwa mgogoro uliopo wa madai ya ukawa?

hebu tukumbushe vizuri ni matatizo gani hayo tuliyombebesha kagame? maji? umeme? barabara? afya? what exactly? Mbona sioni connection yoyote ya kagame na ukawa where did you get that?
 
Mbona mnatuchefua...!!!!!???? By da way who is PaKa? We unapenda kumtaja taja hapa..... Watu tunakesha kufikiria on how can we be like Namibia or Botswana...... we unaleta issue za ajabu ajabu.....
 
Wewe hueleweki. inaonekana umetumwa na kagame. unachanganya hoja. kama huna la kuandika kaa kimya.
 
Siku nyingine ukinywa viroba ukala na kande za moto kaa mbali na keyboard.
 
Kukaa kimya kwako kungekuwa koti zuri la kuficha umbulumundu wako.
 
hebu tukumbushe vizuri ni matatizo gani hayo tuliyombebesha kagame? maji? umeme? barabara? afya? what exactly? Mbona sioni connection yoyote ya kagame na ukawa where did you get that?

INTERAHAMWE ndio connection ya UKAWA na KAGAME!!!
 
mimi nimemuelewa mtoa mada,kipindi cha nyuma kidogo habari nyingi zilikuwa za kumuhusu kagame na tulimuelekezea shutuma nyingi kuhusu matatizo yetu ni kama yeye anasababisha.

mtoa mada anashukuru ujio wa UKAWA hatimaye kagame atapumua sasa umu ndani.

matatizo ya nchi hii yanaletwa na kusababishwa na watanzania wenyewe wala si kiongozi wa nje kutoka Afrika
 
Mbona mnatuchefua...!!!!!???? By da way who is PaKa? We unapenda kumtaja taja hapa..... Watu tunakesha kufikiria on how can we be like Namibia or Botswana...... we unaleta issue za ajabu ajabu.....
what so special with Namibia?
 
mimi nimemuelewa mtoa mada,kipindi cha nyuma kidogo habari nyingi zilikuwa za kumuhusu kagame na tulimuelekezea shutuma nyingi kuhusu matatizo yetu ni kama yeye anasababisha.

mtoa mada anashukuru ujio wa UKAWA hatimaye kagame atapumua sasa umu ndani.

matatizo ya nchi hii yanaletwa na kusababishwa na watanzania wenyewe wala si kiongozi wa nje kutoka Afrika

matatizo gani hayo tuliyoshutumu kagame kuwa ndio anatusababishia? umeme? maji?....what exactly?
 
mimi nimemuelewa mtoa mada,kipindi cha nyuma kidogo habari nyingi zilikuwa za kumuhusu kagame na tulimuelekezea shutuma nyingi kuhusu matatizo yetu ni kama yeye anasababisha.

mtoa mada anashukuru ujio wa UKAWA hatimaye kagame atapumua sasa umu ndani.

matatizo ya nchi hii yanaletwa na kusababishwa na watanzania wenyewe wala si kiongozi wa nje kutoka Afrika

huna lolote unaloongea. bora ungetufundisha formula ya ndege ya mh370 ilipotea vipi? na ni kweli ni vita ya mchina na m USA?
 
mimi nimemuelewa mtoa mada,kipindi cha nyuma kidogo habari nyingi zilikuwa za kumuhusu kagame na tulimuelekezea shutuma nyingi kuhusu matatizo yetu ni kama yeye anasababisha.

mtoa mada anashukuru ujio wa UKAWA hatimaye kagame atapumua sasa umu ndani.

matatizo ya nchi hii yanaletwa na kusababishwa na watanzania wenyewe wala si kiongozi wa nje kutoka Afrika

wanajifanya kutokuelewa wakati wanaelewa -kiburi tuu....wambie bana
 
kWELI NAONA SHOW FUPI TU YA MAKOMANDO imewavuruga. Yaani tukitaka kuingia kigali tunaingia kama home kwetu. Jamaa wenyewe wanauzoefu wakuwaibia wakongo madini yao tu na kukimbia msituni kama ngedere. Umeona mchezo wa JW? hizo ni kijisehemu tu.....
 
Back
Top Bottom