UKAWA na KAGAME

UKAWA na KAGAME

nilichogundua ni kwamba wahutu na watutsi vita yao bado mbichi kabisa, kuna moshi unafuka si muda patawaka. badala ya kumaliza tofauti zenu nyie mnaanza chokochoko kwa tz. na mna bahati sana mkulu wa sasa wa tz ni kilaza ngoja atoke halafu tusikie tena hizo chokochoko zenu... shwain!'
 
Mkuu tusiwaombee hicho kitu hata kiidogo. Tema mate!!!

The king.
 
Back
Top Bottom