Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
fikra za kimaskini!
Kama jinsi selfie sticks zilivyosambaa basi hata hivyo vidrone vitasambaa kama njugu.
Sheria za nchi ziainishe sheria za umiliki na kuvitumia hapa nchini.
Nilisoma kwenye mtandao wiki iliyopita kuwa jamaa mmoja wa USA amekisambua kwa risasi wakati kinazengea kwenye nyumba yake!
Hio drone ni ya millard ayo
UKAWA ndo habari ya mjini hakuna kulala mpaka waisome number
wacha kupotosha....polisi wa mwanza wenyewe wamekiri haijapata tokea umati wa namna ile mwanza...we kwavile unafaham kifaa hicho unaleta uongo wako hapa leta ushahidi
Hata raqey wa i view anayo pia.. sio kitu kipya kutumika kwenye video production in tz ila ni kitu kipya kwenye medani ya siasa.
CCM zipo zinachukua matukio chini ya ardhi na nyingine chini ya bahari huko...
Maiti tu ndo hana majukumuKwamba hulali ujue huna majukum Na huna familia
Pia nawe leta ushahidi
Ya bei ya chini kabisa ni $80
Japo zipo hadi za $ 700 ambazo zina technology ya 3D
Hizi kitu kisheria inatakiwa iidhinishwe na sheria za nchi coz kuna sehemu zingine ambazo kutumia hizi camera ni makosa na pia unaweza kufungwa kama sio kupigwa faini!
Hizi camera zinarushwa angani
Na pia zinakuwa controlled na remote!