acheni unafiki kwa kujiona kuwa nyie tu ndio mko sahihi kuhusu imani,Mungu anasema kazi ya kuhukumu haimuhusu binadamu hilo baraza linatoa wapi mamlaka ya kwenda kumuhukumu Pengo...tatizo imani zenu za ukawa mnalazimisha zihubiriwe madhabahuni kwa uroho wenu wa madaraka hovyo kabisa.eti someni katiba pendekezwa muielewe kisha mkaipigie kura ya hapana,sasa kuna haja gani ya kujisumbua kusoma kama mlishatupangia cha kufanya hiyo kusoma si ni westeji of taimu?Pengo ameongea ukweli,SOMA,IELEWE KISHA FANYA MAAMUZI KWA KUONGOZWA NA DHAMIRA YAKO NA IMANI YAKO!!!!!hajasema kisha pigeni kura za ndio kama ccm wanavyahamasisha,sasa hiyo kutumiwa na ccm kunatoka wapi?hivi kwa mfano next election inapita waraka kama huo ukiwataka wakristu labda wampigie kura Lowassa mtaufurahia kama mnavyoufurahia huu wa sasa?si utakuwa unawaelekeza cha kufanya kama ilivyo kwa huu?au coz huu uko in favour ya UKAWA ndio maana wafuasi wa ukawa wote mnatumika kumshambulia Pengo?Fanyeni siasa zenu za kijinga huko huko kwenye viwanja vya siasa tuachieni MADHABAHU yetu msiyanajisi kwa ukibaraka wenu kwa matapeli wa kisiasa,na tumewagundua waliomtuma gwajima kuropoka aliyoropoka maana wanapanga foleni kumpongeza pale TMJ!!!!MIMI NI MKATOLIKI NINAYEJITAMBUA na sikubaliani na katiba pendekezwa coz haihitaji nguvu kiasi hiko kutambua kuwa imepatikana katika mazingira yasiyofaa kwa mustakabali wa nchi yetu na hayajibu mahitaji muhimu ya kiutawala na kiuongozi kwa nchi hii zaidi ya utapeli na ulaghai na pia sikuhitaji tamko la maaskofu kuliona hilo(tamko ambalo halikuwa na busaara na ni kansa mbaya sana kwa nchi yetu yenye ubaguzi wa kiimani).KUMBUKENI KUWA KATIKA HAO WAKRISTU MNAOWAAMRISHA KUNA WANACHAMA WA VYAMA MBALIMBALI VYA SIASA AND SO MISIMAMO TOFAUTI KWA JAMBO HUSIKA,au otherwise kama mmekwishajiridhisha kuwa wakristu wote ni wafuasi wa upinzani(kasoro Pengo mnayemlaani kwa kila neno baya).kwa sababu kwa akili ndogo tu huwezi kukataa kuwa kama msimamo wa ccm ni kura ya ndiyo na miongoni mwa wakristu wapo pia ccm bila shaka sio ajabu wakasimamia msimamo wa chama chao,je mnataka kuwashurutisha waseme hapana coz mmewachagulia cha kusema(as if nyie ni Mungu kwamba wakienda against u wataenda motoni).zama za kutishana kwa kutumia imani zishapitwa na wakati,eti usipofuata matakwa ya maaskofu basi wewe umepotoka katika imani,wewe ni wa motoni tu,hovyo kabisa.NANI ALIYEKWAMBIA KUWA ASKOFU ANA TIKENI YANGU YA KWENDA MBINGUNI?TIKETI YANGU NINAYO MIMI MWENYEWE KUPITIA IMANI YANGU NA MATENDO YANGU KWA KUONGOZWA NA BIBLIA TAKATIFU KAMA MKIRISTU NA SIO MTU BINAFSI!!!Mwalimu anapokuja kukufundisha ni juu yako kumsikiliza na kumwelewa,mtihani unaenda kufanya mwenyewe na majibu unatoa kulingana na ulivyoelewa wewe sio alivyoelewa mwalimu wako!!!THINK