uongo utakusaidia nini ? nani mkweli kati ya pengo na waraka wa maaskofu ? kwanini pengo asiombe radhi hadharani kwa kauli yake ? au aufute ule waraka wa maaskofu basi , nakuhakikishia kwamba sisi wananchi tutampinga na kumkataa mtu yoyote yule bila kujali cheo wala wadhifa wake , hii katiba iliyoandaliwa na chenge haikubaliki hata na shetani , itakuwa ajabu sana kwa watu werevu kulifumbia macho jambo hili , pengo ni binadamu wa kawaida tu mwenye mama na baba na wajomba na mashangazi kama wewe tu , amekosea kwa makusudi ni lazima akemewe .