Kama huelewi ni bora ukaenda kanisani ukaelezwa sio kupanic, cadinal ni daraja tu la kiaskofu, na si kwamba yeye ndie mkuu wa kanisa katolic tanzania, yupo Askofu ambae ndiye mkuu wa kanisa na ndiye mwenyekiti wa TEC, Pengo yeye ni askofu mkuu wa jimbo la Dar, tafadhali sana tafuta majibu kanisani kwa sasa ni hayo tu, na ni kweli Macadinal ndiyo wanamchagua Papa lakini sio kwamba wao ndio wakuu wa maaskofu nchini kwao, hata Pengo askofu wake kiongozi ni huyo niliyomtaja hapo juu, ndio mwenye kusign tamko la TEC sio Pengo. nipo tayari kusahihishwa kwani haba Duniani kila siku tunajifunza.