meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
- Thread starter
- #21
Maneno yanayoudhi na kuuma si lazima yawe matusi.Gwajima kweli ni shujaa, mpiganaji, msemakweli bila kuogopa, bora ukamuacha kuliko kumchokoza binafsi nampenda na ni mfano wa kuigwa swala la kutumia maneno ambayo hata muhusika hayamuumi. It's shame kabisa.