UKAWA kwisha habari yao

UKAWA kwisha habari yao

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
11947673_1646311275641129_8103042345104092029_n.jpg
 
Ndio nini sasa umeandika? Kama huna cha kuandika ni bora upige kimya tu!!
 
Huyo Magufuli Ana Moyo Wa Kuchaji Halafu Utamlinganisha
Na Lowasa
Jaribu Kuwa Makini Usikurupuke Na
No Photoshop
 
Hizi ndo thread kinyaa. Wakati mwingine tukiona thread kama hizi ni kuangalia tu maana tukicomment mtaonekana kana kwamba mnawafuasi. Nawasihi tunaojitambua kuacha kukoment kabisa thread kama hizi ili waone aibu.
 
Mi nilishasema kwa nini wasiweme kale ka nembo kakudislike? Hizi thread nyingine hazitakiwi hata kuandika neno..
 
Hata wachangiaji hamna ndo maana unazifufua ili tuchangie ujue jinsi mulivyo ishiwa sera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom