Ukawa kuandamana nchi nzima

Ukawa kuandamana nchi nzima

mimi ni polisi sijapiga watu siku nyingi jamani..... Fanyenj fasta tangu nitoke kozi sijakutana na maandamano nipo fiti kuwakabili

ikiwa c.c.m walimdokta mvungi ambaye alipigania katiba bora kwa nchi yetu? Sembuse sisi wa madongo poromoka mtatuua hadi mchoke lakini damu yetu itasimama kama ishara ya ukombozi wa kweli wa ii.
 
Naishi kota za
polisi .... sikai na raia na mdaa nakudunda nimevaa herement na miwani
ya kuzuia machozi huwezi nijuaa ... naahidi kukuvunja kiuno hutazini
tena tukutane kwenye maandamano

Hata kota ukitoka tu tunakutoa macho mwaka huu tumeamua labda uishi kota miaka yote usitoke..
 
ikiwa c.c.m walimdokta mvungi ambaye alipigania katiba bora kwa nchi yetu? Sembuse sisi wa madongo poromoka mtatuua hadi mchoke lakini damu yetu itasimama kama ishara ya ukombozi wa kweli wa ii.

Damu gani unayoisema mbona dada zetu wanamwaga damu kila mwezi husemi damu inamwagika... fikiriaa damu inayomwagika kila siku ya wanawake and no one remember ije iwe yako
 
Hata kota ukitoka tu tunakutoa macho mwaka huu tumeamua labda uishi kota miaka yote usitoke..

Mimi polisi ... kifo ni kiapo changu ukinitoa macho nitakuwa sijatekeleza kiapo changu vema... niuee kabisaa ila mimi ahadi yangu ninkukuvunja kiuno kwenye maandamano ukiwa mbishi nakufyatulia ya motoo
 
Naishi kota za polisi .... sikai na raia na mdaa nakudunda nimevaa herement na miwani ya kuzuia machozi huwezi nijuaa ... naahidi kukuvunja kiuno hutazini tena tukutane kwenye maandamano

Hahahahahahahaaaa unavaa nini vile???? Kweli wewe polisi wa Tanzania.
 
wenyewe wawaache waandamane,wiki mbili tu watu wataona upuuzi na kuconcetrate kusaka faranga.
 
kikubwa waandamane WABUNGE na FAMILIA ZAO.

short of that wajiandae kupelekwa the HAGUE
 
sitta ni mpiga posho,anajua akidi haitatimia lakini anaendelea na vikao vya wahuni kule dodoma!
 
Mimi polisi ... kifo ni kiapo changu ukinitoa macho nitakuwa sijatekeleza kiapo changu vema... niuee kabisaa ila mimi ahadi yangu ninkukuvunja kiuno kwenye maandamano ukiwa mbishi nakufyatulia ya motoo
wewe itakuua njaa tu,polisi wa bongo mna dhiki kuu.
 
kikubwa waandamane WABUNGE na FAMILIA ZAO.

short of that wajiandae kupelekwa the HAGUE
 
Vijana jitbueni maana viongozi wa UKAWA wanataka kuharibu Amani TZ na wote wanamajengo yao nje ya nchi. Kwenye mahandamano hutoona wake au watoto zao, bomu za machozi, rungu... zitakuwa kwa wananchi wasioluwa na hatia.
 
Yakija simiyu haya majuha lazima lazima tuyazomee na kiyadunda na mawe.

Unadhani simiyu ni mali ya bibiako? Sisi tupo tayari kushiriki.enough is enough hiyo posho mnayopeana sasa yatosha
 
Any hypothesis can be justified by research.Libya,Misri Poland England.are countries with a good experience of Protest effects.
 
Back
Top Bottom