Ukawa kuandamana nchi nzima

akili kama ya lissu. hao laki 6 hawatoi maoni wanaandika katiba kwa niaba ya raia m 45. wengi ni wawakilishi wa kuchaguliwa na wananchi na hawakubali hoja yenu kwamba maoni ya wananchi ni serikali tatu.

Sijakufahamu vizuri laki 6 ni takwimu zipi?
 
hii ni sawa na kusema chadema hawana sababu ya kushiriki uchaguzi mkuu mwakani na kuharibu pesa za ruzuku kwasababu kuna dalili wataambulia wabunge 60 tu.
 
Tatizo Lenu Lumumba Mnapenda kukurupuka sana ndio Maana Mnatokaga choni hamnawi mikono Mnakurupuka kushika keyboard. Nimekwambia Utapatikanaji wa wale wajumbe wa BMK ndio unaizingwe usikurupuke kwanza kanawe mikoni ndio urudi hapa

Hivi na wewe umeandika nini?
 
Msitujumuishe watanzania wote kwenye huo ujinga wenu!
 
Tatizo Lenu Lumumba Mnapenda kukurupuka sana ndio Maana Mnatokaga choni hamnawi mikono Mnakurupuka kushika keyboard. Nimekwambia Utapatikanaji wa wale wajumbe wa BMK ndio unaizingwe usikurupuke kwanza kanawe mikoni ndio urudi hapa

wewe najua ulitaka slaa ndo ateuwe wajumbe wa bunge la katiba,lakini tatizo haikuwezekana.
 
Homa ya UKAWA itawamaliza ccm............... Asante kwa taarifa kamanda
 
umma hauna mwisho, endelea kusubiri.

Mkuu nchi nyingi zilizoishia kwenye machafuko ni kwa watawala kuupuuza umma. Ona nchi kama Siera Leon, Liberia na hata Kenya mambo yalikuwaje? Tatizo la hapa kwetu, viongozi wa chama Tawala kama wakina Nape wakiingia mitandaoni na kuona maoni ya wafuasi wao vidampa kama waliochangia hapa wanaona ni haki yao kuendelea na wakifanyacho. Wanasahau kwamba iwapo nchi itavurugika na kutokea machafuko wao viongozi ndio watakaowajibika kwenye mahakama za uhalifu wa kivita sio hawa wapiga debe wa JF na mitandao mingine.
Maridhiano ni jambo la muhimu sana kwani wote ni Watanzania kwa nini tufikie kugombana? Utakuta mume ni CUF au Chadema na mke ni CCM jee ni haki kweli kwa kuwa itikadi za kisiasa ni tofauti basi tutwangane?
Hebu watumie akili watuepushe na hizo dhahama pia waangalie nao wasiishie pabaya.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Toa maoni yako kuhusu kuporomoka kwa Dr. Slaa kisiasa, kama alivyosema kada wa chama cha demokrasia na maendeleo bwana Yericko.

Homa ya UKAWA itawamaliza ccm............... Asante kwa taarifa kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…