Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa ni watu wa ajabu sana wanapiga kelel sana kuanzia hapa JF mpaka huko barabarani kuhusu sijui fisadi Lowasa/ukawa kuchukuwa nchi n.k lkn ukweli wa mambo ni kwamba ktk wale wote waliokuwa barabarani na kumshangilia fisadi lowasa/ukawa zaidi ya asilimia 50 (50%) hawataweza kupiga kura kwa sababu moja ama nyingine aidha hawajajiandikisha au tu hiyo siku watakuwa na mambo mengine ya kufanya au hata kuwa wamelewa najua hapa JF nitashambuliwa na hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa lakini kabla haujafanya hivyo tafadhali naomba ujiulize nafsi yako na uwe mkweli Je, umejiandikisha kupiga kura na utaenda kupiga kura siku ya uchaguzi? Jibu lake unalijua wewe mwenyewe!