UKAWA Jaribuni Kuwa Smart kidogo, Mnachosha!

Hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa ni watu wa ajabu sana wanapiga kelel sana kuanzia hapa JF mpaka huko barabarani kuhusu sijui fisadi Lowasa/ukawa kuchukuwa nchi n.k lkn ukweli wa mambo ni kwamba ktk wale wote waliokuwa barabarani na kumshangilia fisadi lowasa/ukawa zaidi ya asilimia 50 (50%) hawataweza kupiga kura kwa sababu moja ama nyingine aidha hawajajiandikisha au tu hiyo siku watakuwa na mambo mengine ya kufanya au hata kuwa wamelewa najua hapa JF nitashambuliwa na hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa lakini kabla haujafanya hivyo tafadhali naomba ujiulize nafsi yako na uwe mkweli Je, umejiandikisha kupiga kura na utaenda kupiga kura siku ya uchaguzi? Jibu lake unalijua wewe mwenyewe!

*Najua utanitukana lkn najua hautapiga Kura Oktoba!

Hauna mpya na mawazo yako finyu
 
Hatuna haja na kupiga kura safari hii hata kwa mtutu UKAWA anachukua nchi..Mwanamke kama hataki basi mwache aende zake
 
Utahitaji vipi mabadiliko wakati ww huna mawazo yako binafsi?

Sio lazima kila mtu awe na wazo binafsi ili kuwa na mabadiliko. Wazo linakuwa moja na linafanyiwa kazi na wote wanaoliafiki.kumbuka wazo la mchakato wa katiba lilikuwa wazo la JK na likafanyiwa kazi baada ya kukubalika ndani ya chama chake. Na kabala ya hapo lilikuwa wazo la vyama vya upinzani.

Unapewa msemo na unaushupalia utadhani kweli, make wengi wao kichwani wanatumia uji, yani hawajui chochote kile,

Mwenye uji kichwani ni wewe ambaye huwezi kuona zaidi ya upeo wa pua yako.

anayetaka mabadiliko anatafakari sana kwa ss, huwezi kutaka mabadiliko kwa kuhongwa kiasi hicho, baada ya dili kwisha huwezi kuiona hiyo pesa, na kwa sababu hujitambui na hujui thamani ya umri wako kwa ss, unaweza kupiga kelele sana na kuziba masikio, lakini we ndo utakuwa wa kwanza kujuta jf,

Wewe umetafakari wakati unaandika haya? Si umefuata mkumbo tu kwamba watu wanahongwa wakati huna uhakika na unachokiamini?! Umri una thamani gani? Utu wa mtu ndio una thamani na sio umri.

nyie hao hao ndo mlipiga kelele sana sana wakati huo, leo mnasema mabadiliko, bado mnaongeza ujinga kwenye vichwa vyenu, ndo maana nasema, mtu anayetaka mabadiliko anatafakari sana kwa muda huu, viongozi wakubwa walio leta huo msemo wa mabadiliko wamekaa kimya kwani wanajua kinachoendelea, na wao pia wana washangaa mnaosema mnaotaka hayo mabadiliko, nakutakieni pole sana, ila siku mukipata mawazo mapya ya kutodangwanywa hivi, mtakuwa makini sana!

Ujinga unao wewe unayesema walioleta msemo wa mabadiliko wamekaa kimya. Unajua maana ya kimya chao kama kweli wapo? Wanajua kabisa kwamba hawawezi kuyazuia hata kama wao ndio walileta huo msemo kama unavyoamini! Na pole ikwendee wewe mwenye mawazo mgando unayesubiri walioleta msemo wa mabadiliko wakupe ruhusa ya kusema kwa vile wana hati miliki ya huo msemo.
 
Kitu watu wasichokijua ni kuwa kuna wanaCCM wengi tu waliopo bado CCM kura yao ya urais wataipeleka kwa Lowassa...
 
Akili na ubongo wako vina KUTU ICHAKAZAYO.POLE"OVER MY DEAD BODY"
Hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa ni watu wa ajabu sana wanapiga kelel sana kuanzia hapa JF mpaka huko barabarani kuhusu sijui fisadi Lowasa/ukawa kuchukuwa nchi n.k lkn ukweli wa mambo ni kwamba ktk wale wote waliokuwa barabarani na kumshangilia fisadi lowasa/ukawa zaidi ya asilimia 50 (50%) hawataweza kupiga kura kwa sababu moja ama nyingine aidha hawajajiandikisha au tu hiyo siku watakuwa na mambo mengine ya kufanya au hata kuwa wamelewa najua hapa JF nitashambuliwa na hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa lakini kabla haujafanya hivyo tafadhali naomba ujiulize nafsi yako na uwe mkweli Je, umejiandikisha kupiga kura na utaenda kupiga kura siku ya uchaguzi? Jibu lake unalijua wewe mwenyewe!
 
Hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa ni watu wa ajabu sana wanapiga kelel sana kuanzia hapa JF mpaka huko barabarani kuhusu sijui fisadi Lowasa/ukawa kuchukuwa nchi n.k lkn ukweli wa mambo ni kwamba ktk wale wote waliokuwa barabarani na kumshangilia fisadi lowasa/ukawa zaidi ya asilimia 50 (50%) hawataweza kupiga kura kwa sababu moja ama nyingine aidha hawajajiandikisha au tu hiyo siku watakuwa na mambo mengine ya kufanya au hata kuwa wamelewa najua hapa JF nitashambuliwa na hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa lakini kabla haujafanya hivyo tafadhali naomba ujiulize nafsi yako na uwe mkweli Je, umejiandikisha kupiga kura na utaenda kupiga kura siku ya uchaguzi? Jibu lake unalijua wewe mwenyewe!

Tupe basi hizo data ya sensa uliyowafanyia hao vijana au haya ni mawazo yako na ya mafisadi wenzako ndani ya ccm?
 
Back
Top Bottom