Hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa ni watu wa ajabu sana wanapiga kelel sana kuanzia hapa JF mpaka huko barabarani kuhusu sijui fisadi Lowasa/ukawa kuchukuwa nchi n.k lkn ukweli wa mambo ni kwamba ktk wale wote waliokuwa barabarani na kumshangilia fisadi lowasa/ukawa zaidi ya asilimia 50 (50%) hawataweza kupiga kura kwa sababu moja ama nyingine aidha hawajajiandikisha au tu hiyo siku watakuwa na mambo mengine ya kufanya au hata kuwa wamelewa najua hapa JF nitashambuliwa na hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa lakini kabla haujafanya hivyo tafadhali naomba ujiulize nafsi yako na uwe mkweli Je, umejiandikisha kupiga kura na utaenda kupiga kura siku ya uchaguzi? Jibu lake unalijua wewe mwenyewe!
*Najua utanitukana lkn najua hautapiga Kura Oktoba!
Wengi wao hawajajiandikisha na asilimia kubwa ya vijana kelele nyingi kura hawapigi

Tuondolee unabii wako wa kimaskini na kichawi.
Mtaweweseka sana, habare ndio hiyo.
Mimi na nyumba yangu yote, hadi mbuzi tutapiga kura kwa UKAWA, inshallah Mungu atufikishe october salama.
Hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa ni watu wa ajabu sana wanapiga kelel sana kuanzia hapa JF mpaka huko barabarani kuhusu sijui fisadi Lowasa/ukawa kuchukuwa nchi n.k lkn ukweli wa mambo ni kwamba ktk wale wote waliokuwa barabarani na kumshangilia fisadi lowasa/ukawa zaidi ya asilimia 50 (50%) hawataweza kupiga kura kwa sababu moja ama nyingine aidha hawajajiandikisha au tu hiyo siku watakuwa na mambo mengine ya kufanya au hata kuwa wamelewa najua hapa JF nitashambuliwa na hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa lakini kabla haujafanya hivyo tafadhali naomba ujiulize nafsi yako na uwe mkweli Je, umejiandikisha kupiga kura na utaenda kupiga kura siku ya uchaguzi? Jibu lake unalijua wewe mwenyewe!
*Najua utanitukana lkn najua hautapiga Kura Oktoba!
Kwa akili yako hiyo hiyo, waliomsindikiza mgombea wenu wata piga kura wote na wote waliomsindikiza watakuwepo, haumwi mtu, hasafiri mtu, yaan magamba mna akili za kuchekesha sana.Hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa ni watu wa ajabu sana wanapiga kelel sana kuanzia hapa JF mpaka huko barabarani kuhusu sijui fisadi Lowasa/ukawa kuchukuwa nchi n.k lkn ukweli wa mambo ni kwamba ktk wale wote waliokuwa barabarani na kumshangilia fisadi lowasa/ukawa zaidi ya asilimia 50 (50%) hawataweza kupiga kura kwa sababu moja ama nyingine aidha hawajajiandikisha au tu hiyo siku watakuwa na mambo mengine ya kufanya au hata kuwa wamelewa najua hapa JF nitashambuliwa na hawa wafuasi wa fisadi Lowasa/ukawa lakini kabla haujafanya hivyo tafadhali naomba ujiulize nafsi yako na uwe mkweli Je, umejiandikisha kupiga kura na utaenda kupiga kura siku ya uchaguzi? Jibu lake unalijua wewe mwenyewe!
*Najua utanitukana lkn najua hautapiga Kura Oktoba!
Wengi wao hawajajiandikisha na asilimia kubwa ya vijana kelele nyingi kura hawapigi
Wewe usitupigie kelele watu tupo katika mipango ya kuikomboa nchi toka kwa manyang'au