Ninachokidhani mimi ni upungufu tu wa information
Ambazo sio zote utazipata JF
Kuna channel za kichama za kutoa na kupat taarifa
Maswali yako ya msingi lakini huwezi kujibiwa JF
Wananchi sio wajinga
wanao lalamika wanazidi kuongezeka
ni lazima kujadili tu haya kupata solution..
vingine ni uzembe wa hali ya juu...
hivi unamuachaje wakala na njaa?
Ukiangalia sana CDM na CCM hakuna tofauti yoyote ni muendelezo wa upuuzi ule ule. Kilichonisababisha kuunga mkono UKAWA ni sababu tu ya kuona kulikuwa na tumaini zaidi la kuibadiri katiba yetu na kupata katiba bora kwa utawala wa UKAWA. Kuhusu upuuzi mwingine huo usinge epukika.
Kuna mambo mazito kama mbowe kuvuta pesa na kutuma ughaibuni yalijibiwa hapa..chadema kuna sehemu walikua wanaokota mawakala kwenye vituo vya daladalaNinachokidhani mimi ni upungufu tu wa information
Ambazo sio zote utazipata JF
Kuna channel za kichama za kutoa na kupat taarifa
Maswali yako ya msingi lakini huwezi kujibiwa JF
Nachojua wakati wa uteuzi wa wagombea wa ubunge majimbo mbalimbali ukiendelea kipindi kile, na wadada wa viti maalum nao walikua wakichaguana vilevile, tena kupitia sanduku la kura. Sasa sielewi hii imetoka wapi tena. Kwamba yale maoni ya wana-CDM kwenye sanduku la kura hayakuzingatiwa??
Mpaka sasa mimi namshangaa kijana msomi anayeunga mkono chadema. Siku ya kura vijana wamebaki wanapiga miayo tu huku wenzao wa ccm wakikunja pesa ya kutosha +chakula hapo kwann wakala asishawishike na kuuza matokeo?
Chadema sio chama makini ni kampuni ya flani ya kujitaftia pesa ya watu flani.
Mimi nilikuwa na mawakala wa UKAWA nilishangaa mno malalamiko yao
sasa tusipopata majibu hapa nani ana uhakika kutakua na marekebisho?