UKAWA: Hatujaalikwa sherehe za Muungano!

UKAWA: Hatujaalikwa sherehe za Muungano!

Ogah huu ujumbe kwa JK nadhani umefika . Kuna wana mtandao hapa ni vyema kuwa mnatoboa habari hizi jamani .Mwaka 2010 tutazitumia kujenga hoja dhidi ya CCM tukiwa kama wananchi na kumtaka JK kujib tuhuma. Mimi nakubaliana na waliosema kwamba JK na uongozi wake ni mazingaombwe maana wananchi wanaona juu lakini ndani uchafu mwingi sana .JK najitahidi sana kupaka rangi nyeupe jengo kwa nje lakini ndani ni harufu . Ogah mwaga kila kitu hapa kwa undani tupate faida tafadhali .

Kwani kodi TRA inazokusanya ni za serikali ni ya chadema au ccm?Bajeti na vipau mbele vya nchi anayepanga ni chadema au ccm?
 
Kila kitu kinafanywa kwa wakati wake na kila jambo la kitaifa lina umuhimu vilevile.

Suala la kusema ocean road hakuna madawa sijui vifaa katika sherehe za muungano lina mahusiano gani!?

Kama ishu ni hela, kwanini usiwaambie CHADEMA waache kubeba ruzuku ya zaidi ya millioni 300 kwa mwezi ili fedha hiyo ipelekwe ocean road?

WanaJF,

Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.

Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.

Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.

Mara nyingi huna point unaandika utumbo tu. Yani ukisha kuwa nyang'au hata akili yako ni ya kinyang'au. Bila kumwandika Mbowe au chadema uendi choo.
 
Umeshajifungua lakini? Maana ulikuwa una lalama kuwa uchungu wa mimba unasumbua hivi karibuni.

Nilazima ujisikie aibu kidume kizima unaparamia wanaume wenzio wakikuharibu? Alah umeambiwa leta source ya story yako unabaki kuluka luka kama kuku mwenye kideri! We need fact siyo kuropoka kadiri ya unavyojisikia utafikiri tuko bar hapa This is Great Thinker forum sio chit chat hapa alah.

BACK TANGANYIKA
 
Maandalizi ya sherehe hizo yamegharimu shilingi ngapi?unajua kuwa pale ocean road cancer hospital hakuna hata paracetamol licha ya daya ya chemotherapy na mashine ya radiotherapy mbovu zinatakiwa tsh 2m.Wameambiwa na wizara wasubiri bajeti ijayo

Kumbe ndio maana pale ORCI wagonjwa siku hizi karibuni wanapigwa kalenda pamoja na kuwa tayari magonjwa yao yameshajulikana..Asante sana kwa kutujuza Mhe Bongolala

Maandalizi ya sherehe hizo yamegharimu shilingi ngapi?unajua kuwa pale ocean road cancer hospital hakuna hata paracetamol licha ya daya ya chemotherapy na mashine ya radiotherapy mbovu zinatakiwa tsh 2m.Wameambiwa na wizara wasubiri bajeti ijayo
kwa hiyo mamabo mengine yasifanyike kisa tuu ocean road hakuna dawa,sasa kwa mtazamo wako huu,nchi itabidi ishughulikie shida tuuu kilka siku,hakuna ufanya mambo mengine,duuu hii hatari
 
Mda mwingine hamida unakuwaga na mambo ya ajabu sana,ila kama yanakuingizia kipato bs buheri
 
Mgeni ana kamba mguuni!
!!!
Kama huoni hoja ya uhusiano wa huduma bora ya afya especially Ocean Road
ambako ni special care facility mainly for paliative care na sherehe ya
muungano basi narudia kuwa kama huna laana wewe ni chizi!!!!!

Destitutes are there suffering and most of them are in their death beds
we unaleta kubana pua hapa!!!!! Eti warning, sijui ustaarabu na
kuheshimiana are you kidding???!!!

Warning peleka kwa wehu sio mtu kama huyu anayekupa habari hii straight
at your face!!!!!
Unapoandika uwe unakumbuka kuna watu conscious and sensitive sio kuleta
dharau na kejeli! !!!!!

Makavu live, hahahahahahahhhh ningekuwa mimi nafunga uzi maenda kuomboleza na misukule menzangu pale lumumba..loooh...teh teh teh....

BACK TANGANYIKA
 
Maandalizi ya sherehe hizo yamegharimu shilingi ngapi?unajua kuwa pale ocean road cancer hospital hakuna hata paracetamol licha ya daya ya chemotherapy na mashine ya radiotherapy mbovu zinatakiwa tsh 2m.Wameambiwa na wizara wasubiri bajeti ijayo

Sasa naona kwanini Profesa Lipumba aliwaita CCM(Waliowengi) ni Interahamwe, huu

ebu acha kupumbaza watu! UKAWA ni wajumbe wa bunge maalum la katiba, na wajumbe wa bunge maalum la katiba walikua na sehemu yao mahususi pale uwanjani, sasa inawezekana vipi wakalalamika kuhusu kualikwa? its automatic kwamba walikuwa part ya ceremonies, kama hawajaenda ni kwa maamuz yao tu. ....ila sikushangai mtoa post maana Tanzania ni miongon mwa nchi kumi za mwisho Africa whose population has the lowest IQ, bila shaka ulikuwa kwenye sampuli za utafiti huo
 
WanaJF,

Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.

Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.

Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.

Kwani UKAWA ni chama cha siasa?
 
Hatuwataki wanafki wakubwa hao
Serkali mbili zatosha

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
kwani ukawa ni chama au taasisi? si ni kundi tu mbonaTanzania kwanza hawajaalikwa? acha upuuzi wako wa kuanzisha hoja zisizo na mashiko
 
Kama sio ujinga ni nini?
Kasha lewa na gongo alafu ndo alalamike, aka UKAWA bora ibaki KAWA.
 
Back
Top Bottom