ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,872
Tanzania ni moja ya nchi yenye watu wenye IQ ndogo duniani. Hatushangai wengne kuona watu kama hawa kama huyu mleta mada.
Waalikwe kwani wao ni nani? ... si wananchi tu wa kawaida kama sisi.
Wangeenda kama wangetaka.
WanaJF,
Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.
Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.
Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.
Utakuwa una laana kama sio ya wazazi wako basi wao walilaaniwa kabla ya kukuzaa wewe!!!!!!
Huwezi leta dhihaka kwa jambo kama hili, umewahi kuuguza mgonjwa wa muda mrefu!!!???

Kwani mualiko lazima?
Kwani wao hawawezi kufanya sherehe yao?
Mbona tunapenda utamaduni wa ulalamishi?
What's next? Mtalalamika Kikwete hajawaalika kula ubwabwa wa sherehe Ikulu?

Ukawa mi..k..hdu yao ,wakafie mbali. Nuksi sana mi nasema wapigwe tu..tumechoka.Utakuwa una laana kama sio ya wazazi wako basi wao walilaaniwa kabla ya kukuzaa wewe!!!!!!
Huwezi leta dhihaka kwa jambo kama hili, umewahi kuuguza mgonjwa wa muda mrefu!!!???
WanaJF,
Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.
Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.
Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.
Kaka, hao waalikwe kwenye muungano ambao hawautaki? Unamwalikaje mtu kwenye birthday ya mtoto ambaye mwwalikwa hataki aendelee kuishi na anafanya kila hila ili mtoto huyo afe?Ni ujinga yani hadi waalikwe?
Kiranga, wasilalamike kwa nini? Wamezoea kuitwa Ikulu kudoea chai na juice sasa wanaona kimya!! Imekula kwaoKwani mualiko lazima?