UKAWA: Hatujaalikwa sherehe za Muungano!

UKAWA: Hatujaalikwa sherehe za Muungano!

w asm w ndo ----- naziiii duh

Sawa, battery low, mimi sio siasa nahoji kutokana na mtazamo wangu sasa we nazii inakujaje. Mimi sijafurahishwa na hao ukawa kutoka bungeni kwani kumeondoa nguvu za kutetea wananchi. Sasa wametoka ndio tutapata nini si ndo mambo yatakuwa mabaya. Tupeane hoja za mantiki wala sio ushabiki. Haya wewe mjuzi wa mambo mimi si mjuzi, ni wazo langu.
 
Back
Top Bottom