UKAWA: Hatujaalikwa sherehe za Muungano!

UKAWA??? Mimi nilidhani angelalamika asingepewa mwaliko kama KUB na sio UKAWA hivi UKAWA imesajiliwa kama taasisi inayojishughulisha na nini?
 
WanaJF,

Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.

Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.

Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.
aache unafiki kwani ye hajui kuwa leo ni sherehe za muungano?vyombo vya habr vimetengaza sana kuhusu hyo sherehe
au ye alitaka kuwa high table?angeenda tu kama mimi nilivyo enda
 
Ivi wale wananchi wote waliohudhuria pale uwanjani walipewa mualiko??kwan nan kawakataza hao ukawa kwenda?wangeenda wakakae kwenye jukwaa la mzunguko waangalie makomandoo wa jwtz wakifanya yao..!!
 
WanaJF,

Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.

Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.

Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.

source plz kama ni udaku ban inakuhusu
 
Hamy-D
Haya ni mahangaiko yasiyo na Tija. Kama unahitaji mwaliko njoo, tukupe Kadi, hata ya mlo wa jioni hii usipoteze muda wako bure kwenye mitandao.
WanaJF, msishangae hili ndilo jibu analostahili Hamy-D na sababu wengi mnalifahamu

dr ni wewe kweli au mama jnr kaiba tena Laptop na kufanya udukuzi??
 
WanaJF,

Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.

Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.

Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.

Wanautambua? Si wanasema hati imegushiwa?
 
Hamy-D
Haya ni mahangaiko yasiyo na Tija. Kama unahitaji mwaliko njoo, tukupe Kadi, hata ya mlo wa jioni hii usipoteze muda wako bure kwenye mitandao.
WanaJF, msishangae hili ndilo jibu analostahili Hamy-D na sababu wengi mnalifahamu

Katibu Mkuu tunaambiwa hamkuhudhuria kwenye sherehe, kuna ukweli ndani yake?
 
Wanafiki hao. Watasherehekeaje muungano ambao, kwa kauli zao wanasema haukufanyika, hauna hati halali, na kwa hiyo hawautambui,
Wasubiri kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mfalme wa Oman, au sultan Jamsheed.
 
dogo viroba vinakusumbua fanya mengine baada ya kukosa uongoz wa ccm chuoni tena umerudia huku
 
ebu acha kupumbaza watu! UKAWA ni wajumbe wa bunge maalum la katiba, na wajumbe wa bunge maalum la katiba walikua na sehemu yao mahususi pale uwanjani, sasa inawezekana vipi wakalalamika kuhusu kualikwa? its automatic kwamba walikuwa part ya ceremonies, kama hawajaenda ni kwa maamuz yao tu. ....ila sikushangai mtoa post maana Tanzania ni miongon mwa nchi kumi za mwisho Africa whose population has the lowest IQ, bila shaka ulikuwa kwenye sampuli za utafiti huo

naungana sana nawe bro kwan jukwaa hili linatusadia kuwajua wana wa mulugu dvs .......
 
Ukawa waalikwe kama nani wao, wamesajiliwa kwa sheria gani? Kwanza hata kwenye bunge maalum vilevile hakuna sheria wala kanuni inayowatambuwa.
 
Hamy-D
Haya ni mahangaiko yasiyo na Tija. Kama unahitaji mwaliko njoo, tukupe Kadi, hata ya mlo wa jioni hii usipoteze muda wako bure kwenye mitandao.
WanaJF, msishangae hili ndilo jibu analostahili Hamy-D na sababu wengi mnalifahamu

Mkuu Dr.W.Slaa,
Nimerudiarudia kusoma ulichoandika yaani siamini kama kweli umeandika wewe! Anyway, unao uhuru wa kikatiba kutoa maoni yako ili mradi huvunji Sheria yoyote!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom