Ukatili Ukatili gani huu!


Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
219
Points
160

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 219 160
Indonesian maid has lips cut off by employer

An Indonesian maid has allegedly had her lips cut off and been burned with a hot iron by her Saudi employer, according to reports. Sumiati Binti Sala Mustapa, 23, received skin grafts in the intensive care unit of King Fahd Hospital in Medina after being burned by her employer, according to Al-Watan newspaper.

Miss Mustapa was also treated for fractures in her hands and ribs. The unidentified 53-year-old woman is in prison and undergoung psychiatric evaluation, the reports claim.

Saudi and Indonesian officials met in Medina on Tuesday to discuss the case.

Saudi Arabia’s official Human Rights Commission has offered legal support to the woman and to back her case in court if necessary, according to another Saudi newspaper.
The commission “will certainly support referral of the case to the judiciary because it is our duty to take a stand on any issue of rights violation forwarded to us,” its president Bandar al-Aiban said, quoted in Okaz.
Officials in the Saudi city of Abha last week recovered the body of another Indonesian maid, Kikim Komalasari, who allegedly died from abuse.
The cases have outraged Indonesians and brought calls for Jakarta to stop sending workers to Saudi Arabia.mustapa_1768826c.jpg


Source: Daily Telegraph
 

rmashauri

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
3,008
Likes
15
Points
135

rmashauri

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
3,008 15 135
Homeboy, hawa watoto wa mjakazi ni balaa tupu. BBC mpaka waliandaa documentary inayoonyesha wasichana wa Kenya walivyokuwa wanateswa huko Saudia, ukiianagalia utatoa machozi. Ni ukataili uliozidi kipimo.
 

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,207
Likes
281
Points
180

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,207 281 180
Binti wa jirani yangu amerudi wiki iliyopita. Alichukuliwa Saudi Arabia kufanya kazi za ndani. Hakumaliza hata wiki tatu karudi nyumbani. Alipoulizwa akasema wananyanyasa sana, bora atembeze mchicha hapa Bongo kinaweza kueleweka kuliko huko saudia.
 

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
219
Points
160

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 219 160
Huko Saudia kuna mambo ya ajabu sana! there is shocking human rights violations. I have checked the statistics worldwide on Rapes (per capita), Saudi Arabia is ranking among the fore fronts. Huku nasikia wana SHARIA inakuwaje wandugu?
 

rmashauri

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
3,008
Likes
15
Points
135

rmashauri

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
3,008 15 135
Halafu viongozi wao wanapewa taarifa, hamna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya wahusika, zaidi ya kupigwa danadana tu
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,938
Likes
206
Points
160

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,938 206 160
Huo ukatili wanawafanyia wageni tu au hata wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana?
Si ndio waharabu ndio walikuwa wana wahasi mababu zetu ili kusiwe na mbugu ya mtu mweusi kwao!!
 

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
219
Points
160

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 219 160
Huo ukatili wanawafanyia wageni tu au hata wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana?
Si ndio waharabu ndio walikuwa wana wahasi mababu zetu ili kusiwe na mbugu ya mtu mweusi kwao!!
Nadhani uko zaidi kwa wageni! Saudi Arabia si nchi nzuri ya kwenda kutembelea
 

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,176
Likes
4,652
Points
280

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,176 4,652 280
Huo ukatili wanawafanyia wageni tu au hata wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana?
Si ndio waharabu ndio walikuwa wana wahasi mababu zetu ili kusiwe na mbugu ya mtu mweusi kwao!!
Wenyewe kwa wenyewe hawafanyiani hivyo, wageni ndio waathirika zaidi.
 

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
219
Points
160

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 219 160
Binti wa jirani yangu amerudi wiki iliyopita. Alichukuliwa Saudi Arabia kufanya kazi za ndani. Hakumaliza hata wiki tatu karudi nyumbani. Alipoulizwa akasema wananyanyasa sana, bora atembeze mchicha hapa Bongo kinaweza kueleweka kuliko huko saudia.
Hivi Makkah (Mecca) ipo Nchi gani?
 

Forum statistics

Threads 1,205,053
Members 457,691
Posts 28,180,813