Zanika
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,316
- 752
- Thread starter
- #21
Kile kibarua chako cha kuuzia waheshimiwa wanafunzi kimeota mbawa pale Are..?Tanzania in kubwa sana ila imejaza wapumbavu wengi wanao jifanya wanajua kumbe wanaharibu zaidi
Pole sana jifunze kufanya kazi halali sasa
Hujui uandikalo.Ni vyema ukatafakali mara mbili mbili kabla ya kuandika
Kati ya mambo ambayo ZZK aliyapigia kelele na wabunge wengine wa upinzani ni kutolewa kwa posho za kila siku, kama safari zilikuwa na manufaa kwa taifa ni vyema wakafanya hivyo
Hoja za ZZK ni uthibitisho jinsi gani mhimili wa Bunge unaingiliwa,
Hoja zake hazijajikita kwenye Posho na marupurupu kama ingekuwa hivyo asingeamua kuondoka bungeni na kushiriki kwenye vikao vya baraza la madiwani ila kigoma
Kwa kilichozungumzwa na ZZK ni vyema bunge kurudi kweny nafasi yake ya kukosoa, kusimamia na kuionya serikali, si kama ilivyo sasa.
Unataka kukubaliana naye anavyopinga kuwa hakuna Mhimili wenye mizizi iliyojichimbia mbali zaidi? Ulifurahia wakati ule Bunge likitumika kufuja hela hovyo? Kwako ni sahihi Bunge kuipa na kutoa Maelekezo Serikali na si kukosolewa wapapofanya pumba?