Kiboko Yenu
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 311
- 65
kiherehere cha kugoma serikali kuchangia ndio matokeo yake hayo
Kutuka katika chanzo cha kuaminika huko Ujerumani katika Hospital ya Max Grundig Hospital Baden-Baden,
Dr ulimboka ameobwa kulejea nyumbani na kumalizia matibabu yake hapa nchi hii ni kutokana na kulemewa na
mzigo wa bill za hospital.
Hiki chanzo cha kuaminika kinasema michango waliyotoa madaktari wakimchangia na kujikamua hakutosha na haitatosha
maana Hospital ya Max Grundig Hospital Baden imekataa kupokea hela kwa mafungu mafungu mfano bill ni $5000 jamaa wanalipa $2000 wanasema nyingine inakuja
Kama Madoctor hawajataka msaada wa serikali katika hili yatawatokea puwani maana muda si mrefu atarudi kutoka aliko
SOsi ;Chanzo cha kuaminika
Soma habari ya Mwananchi ya Tarehe 7/7/2012
Madaktari wakiri hali ya Ulimboka mbaya
WAENDELEA KUCHANGISHANA FEDHA ZA MATIBABU, MUHIMBILI, MOI BADO HAKUJATULIA, SERIKALI SASA YAWASHTAKI MMOJA MMOJA KWENYE BARAZA LAO
Katika hatua nyingine, madaktari wanaendelea kuchangishana kwa ajili ya matibabu ya Dk Ulimboka na katika awamu hii ya pili, imeelezwa kuwa takriban Dola za Marekani 30,000 zinahitajika.
Dk Mkopi alikiri madaktari hao kuendelea kuchangishana lakini hakuwa tayari kueleza kiasi ambacho kimepatikana mpaka sasa
Naona mmejazana hapa bila sababu ya msingi kusikiliza porojo za huyu mjinga, kuna Taarifa mpya nyeti just realeased inawapita bure.
Fuatiliani link hii ni thread ameanzisha Invisible, achaneni na hili jinga hapa.
Link:
Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...
Nadhani wote hamjamuelewa mleta mada, anachokifanya mleta mada ni kutress ili ajuwe Dr Ulimboka anatibiwa wapi, maana mpaka sasa ni siri juu ya Hospital inayomtibu, sasa huyu kibaraka kwakuwa anajuwa JF kuna watu ambao huwa na fact zote kuliko vyombo vya Serikali ndio ameamuwa kuja kwa gia hii.
Kiukweli hawa watu wanaweweseka sana kuhusu Dr Ulimboka wanajuwa kwamba umafia wao wote utaanikwa hadharani siku si nyingi.
Kutuka katika chanzo cha kuaminika huko Ujerumani katika Hospital ya Max Grundig Hospital Baden-Baden,
Dr ulimboka ameobwa kulejea nyumbani na kumalizia matibabu yake hapa nchi hii ni kutokana na kulemewa na
mzigo wa bill za hospital.
Hiki chanzo cha kuaminika kinasema michango waliyotoa madaktari wakimchangia na kujikamua hakutosha na haitatosha
maana Hospital ya Max Grundig Hospital Baden imekataa kupokea hela kwa mafungu mafungu mfano bill ni $5000 jamaa wanalipa $2000 wanasema nyingine inakuja
Kama Madoctor hawajataka msaada wa serikali katika hili yatawatokea puwani maana muda si mrefu atarudi kutoka aliko
SOsi ;Chanzo cha kuaminika
Soma habari ya Mwananchi ya Tarehe 7/7/2012
Madaktari wakiri hali ya Ulimboka mbaya
WAENDELEA KUCHANGISHANA FEDHA ZA MATIBABU, MUHIMBILI, MOI BADO HAKUJATULIA, SERIKALI SASA YAWASHTAKI MMOJA MMOJA KWENYE BARAZA LAO
Katika hatua nyingine, madaktari wanaendelea kuchangishana kwa ajili ya matibabu ya Dk Ulimboka na katika awamu hii ya pili, imeelezwa kuwa takriban Dola za Marekani 30,000 zinahitajika.
Dk Mkopi alikiri madaktari hao kuendelea kuchangishana lakini hakuwa tayari kueleza kiasi ambacho kimepatikana mpaka sasa
sasa hasira za nini nitazidi kuwaletea habri bila chenga