Ukaribu wa Mwamposa na Rais Samia, sioni ajabu washarika wa Mwamposa kupewa oda ya kufika kwenye kampeni za Mama

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,254
Reaction score
4,466
Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko

Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi

Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo wanawadubiri
 
Kwani mwamposa ni nani hapo bongo zaidi ya wabunge chawa (kama FA) au wasanii kina mama sema na mwanao? KUna kenge anaamini mwampoza anampeleka kwa yesu au anampooza tu amlambe sadaka ya kujiua, akale na mkewe binti na kuwekeza kwa hotel yake Mbeya wakati anatafuta IRR na ROI?
 
Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko

Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi

Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo wanawadubiri
Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 Mwamposa aliwaagiza waumini na wafuasi wake waipigie kura CCM, si unajua huyo ni mkwepa kodi na CCM na wakwepa kodi ni kama chupi na matako.
 
Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko

Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi

Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo wanawadubiri
There might be death there
 
Back
Top Bottom