Ukarabati wa Shule Kongwe za Serikali uwe na tija kwenye ufaulu pia

Ushindi Daima

Member
May 4, 2013
92
27
Salaam wana JF!

Kumekuwepo na juhudi za serikali ya awamu ya 5 kuzifanyia shule kongwe(mkoloni) za serikali, hakika shule zinapendeza kweli kweli kuanzia Madarasa, Maabara, Maktaba, Mabweni na Ofisi.

Lakini changamoto kwenye shule hizi ni ufaulu maana kwenye matokeo ya kidato cha 4 na 6, shule binafsi ndio zimekuwa zikitamba.

Sasa ukarabati huu uendane na tija ya ufundishaji kwa waalimu ili ufaulu uongezeke.

Mimi ni mwana Pugu, wewe ni wa shule gani?
Tiririka hapa....
 
Back
Top Bottom