Ukame unanitesa, vipi hali ya ukame pande zako?

Karibu town, mimi mambo kilimo niliwachia wazee huko kwetu ngara. salon kwa siku 20-45k, na mashosti kibao Approx gunia 10-15 za mahindi kwa mwezi. So miezi 6 (msimu mmoja) sawa na gunia 60. Na nipo mrembo ukiniona utadhani under 17.
Uko wapi? unipokee mjini naona nuru inakaribia kuniangazia teh teh.
 
Piga magoti usali. Watabili wa hali ya hewa walisema mapema kuwa mwaka huu hakuna mvua wakiimply kwamba mwaka 2017 ni njaa. Cha ajabu mpaka sasa serkali haitaki kutoa taadhali ya njaa 2017. Na mkulu alisema hatoi chakula cha msaada.
Muulize Mwele alitoa tahadhari ya nini vile, halaf kilichompata ni nini?
 
Karne ya 21 kutegemea kilimo cha Mvua ni kutumia Kidole Chenye Maumivu kusaka sehemu yenye Maumivu kwny Mwili!
 
Karibu town, mimi mambo kilimo niliwachia wazee huko kwetu ngara. salon kwa siku 20-45k, na mashosti kibao Approx gunia 10-15 za mahindi kwa mwezi. So miezi 6 (msimu mmoja) sawa na gunia 60. Na nipo mrembo ukiniona utadhani under 17.
Umeolewa mrembo?
 
Safi dada'ake. Endelea kupambana huko.
-Kaveli-
 
Karne ya 21 kutegemea kilimo cha Mvua ni kutumia Kidole Chenye Maumivu kusaka sehemu yenye Maumivu kwny Mwili!
Unazungumzia Ulaya au Tanzania mkuu,Tanzania bado tupo karne ya 17 hatujaanza hata agrarian revolution!! simu na magari ndio vinatuzubaisha tujione kama tuko karne ya 21.
 
Back
Top Bottom