Ukame unanitesa, vipi hali ya ukame pande zako?

Hii hali ya ukame inanitesa wadau, mvua hazinyeshi pande hizi, mahindi yangu niliyopanda yamejikaukia, ukame huu mpaka lini? Vipi hali ya ukame pande zako mdau?
Mkuu Kyela pia mvua hakuna...hali ni mbaya kwakweli!!
 
Halafu mkulu kasema serikali haitatoa misaada kwa watakaokubiliwa na balaa la njaa, ongeza na maombi ili inyeshe.
 
Halafu mkulu kasema serikali haitatoa misaada kwa watakaokubiliwa na balaa la njaa, ongeza na maombi ili inyeshe.
Hiyo kauli inakera sana mkuu ni kama kutangaza kumyima mkopo na kisha ajira mwalimu wa sanaa wakati ndio kwanza yupo mwaka wa kwanza.
 
Back
Top Bottom