Ukali wa Rais Kikwete!

Ukali wa Rais Kikwete!

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Nimeangalia Taarifa ya Habari ITV saa mbili usiku leo na kumshuhudia Rais Kikwete akiwakaripia wanachama wake wanaokichafua Chama hicho cha Zamani! Swali Je, mbona Rais wetu haoneshi ukali wa namna hiyo kwenye matukio kama mauaji ya raia, kukosekana kwa petrol, serikali na utendaji wake usioridhisha?
 
kwa sababu ni dhaifu. alisikilizana na hao watu kwamba wakiona kamera, akiwakaripia wanayamaze
 
Nimeangalia Taarifa ya Habari ITV saa mbili usiku leo na kumshuhudia Rais Kikwete akiwakaripia wanachama wake wanaokichafua Chama hicho cha Zamani! Swali Je, mbona Rais wetu haoneshi ukali wa namna hiyo kwenye matukio kama mauaji ya raia, kukosekana kwa petrol, serikali na utendaji wake usioridhisha?

Kwa hiyo ulitaka yeye ndo aendeshe gari la kurusha maji yanayowasha kwa waandamanaji? Au ulitaka aende mahakam kuu akae kwenye kiti kutoa hukumu kwa watuhumiwa waliochoma makanisa? Au ulitaka afoke kwenye TV mpaka mate yamtoke ndo uridhike? Kwani alipofoka siku ya kuzima mwenge Shinyanga unaona haitoshi???? Acha hizo kijana .... Ooh sore, mzee...
 
Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi

September 15, 2012
Kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,
Juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.
Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.
Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;
Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.
Orodha kamili ni:
Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel
Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.
source: http://jasonbournetz.wordpress.com/2...-fedha-uswisi/
My take anazungumza kutoka moyoni au anabeep
 
Sasa na wewe vipi? Si umeanzisha topic ya huu upuuzi wako,kuna sababu gani ya kuuleta humu?
 
Huyu jamaa (raisi wetu) ana matatizo kweli nasikia anasema CAG haruhusiwi kuojiwa na bunge. Ina maana mienendo ya wakaguzi wa serikali na wa kuteuliwa na serikali haitakiwi kukaguliwa na chombo ambacho kinatakiwa kuhoji miendendo ya serikali.

Halafu huyo ndio raisi anatoa kauli hizo na anasisitiza katiba airuhusu, surely this guy is a joke maana huitaji kuisoma katiba kujua responsiblity za bunge, where did we get this guy from.
 
embu towa huu uchafu wako hapa peleka panapostahili
 
Huyu jamaa (raisi wetu) ana matatizo kweli nasikia anasema CAG haruhusiwi kuojiwa na bunge. Ina maana mienendo ya wakaguzi wa serikali na wa kuteuliwa na serikali haitakiwi kukaguliwa na chombo ambacho kinatakiwa kuhoji miendendo ya serikali.

Halafu huyo ndio raisi anatoa kauli hizo na anasisitiza katiba airuhusu, surely this guy is a joke maana huitaji kuisoma katiba kujua responsiblity za bunge, where did we get this guy from.

From the bathroom.
 
Namshangaa anakaripia vitendo vya rushwa( ambavyo anavijua, tunavijua..na watoa,wapokea rushwa wanajulikana) lakini hii ni sawa kwake!

Kwanini asihakikishe wanachukuliwa hatua?
TAKUKURU wako wapi?
Kwa vitendo vya wazi (Obvious) hivi vinavyotendeka na hamchukui hatua, kweli tutaamini mnafanya kazi yenu kiuhalali? Kiusawa?
 
Sasa na wewe vipi? Si umeanzisha topic ya huu upuuzi wako,kuna sababu gani ya kuuleta humu?

Acha huu uzi ukae hapa hapa, ukiuanzisha kama new post Mod ataupiga chini. It is very sensitive.
 
Huyu asije akawa ZZK, amamua kutiririka kivingine humu Jf
 
Huyu jamaa (raisi wetu) ana matatizo kweli nasikia anasema CAG haruhusiwi kuojiwa na bunge. Ina maana mienendo ya wakaguzi wa serikali na wa kuteuliwa na serikali haitakiwi kukaguliwa na chombo ambacho kinatakiwa kuhoji miendendo ya serikali.

Halafu huyo ndio raisi anatoa kauli hizo na anasisitiza katiba airuhusu, surely this guy is a joke maana huitaji kuisoma katiba kujua responsiblity za bunge, where did we get this guy from.

Mkuu umeangalia utaratibu wa kumuondoa hata kum-implicate CAG?
hebu kasome kwenye katiba ya nchi kwanza.
 
Kwa hiyo ulitaka yeye ndo aendeshe gari la kurusha maji yanayowasha kwa waandamanaji? Au ulitaka aende mahakam kuu akae kwenye kiti kutoa hukumu kwa watuhumiwa waliochoma makanisa? Au ulitaka afoke kwenye TV mpaka mate yamtoke ndo uridhike? Kwani alipofoka siku ya kuzima mwenge Shinyanga unaona haitoshi???? Acha hizo kijana .... Ooh sore, mzee...

Hv manfikiriaga kwa kutumia nini? is your mind okay?
 
Mkuu umeangalia utaratibu wa kumuondoa hata kum-implicate CAG?
hebu kasome kwenye katiba ya nchi kwanza.
Ingesaidia kufafanua hivyo vipengele vya katiba hili uturahisishie wengine.

Anyway my point si kumuondoa au kum-implicate CAG, lakini ebu jiulize how are the committees supposed to scrutinize government spending wakati wabunge wana rely on the information za CAG. Halafu anatokea mtu anasema anachosema CAG is final wakati watu wameona kuna matumizi fulani ambayo an accounted for kwenye ripoti wanayopewa na mkaguzi wa serikali na ushahidi pengine wanao.

That is to say the parliament is not allowed to scrutinize government expenditures, unless the person responsible decides to do them a favour. Aint that pathetic?
 
Kwa hiyo ulitaka yeye ndo aendeshe gari la kurusha maji yanayowasha kwa waandamanaji? Au ulitaka aende mahakam kuu akae kwenye kiti kutoa hukumu kwa watuhumiwa waliochoma makanisa? Au ulitaka afoke kwenye TV mpaka mate yamtoke ndo uridhike? Kwani alipofoka siku ya kuzima mwenge Shinyanga unaona haitoshi???? Acha hizo kijana .... Ooh sore, mzee...

Poor argumentation!
 
Mkuu umeangalia utaratibu wa kumuondoa hata kum-implicate CAG?
hebu kasome kwenye katiba ya nchi kwanza.

katiba yetu ina makosa mengi na hayo ni baadhi ya makosa pamoja na mengine mengi...........
 
Nimeangalia Taarifa ya Habari ITV saa mbili usiku leo na kumshuhudia Rais Kikwete akiwakaripia wanachama wake wanaokichafua Chama hicho cha Zamani! Swali Je, mbona Rais wetu haoneshi ukali wa namna hiyo kwenye matukio kama mauaji ya raia, kukosekana kwa petrol, serikali na utendaji wake usioridhisha?

Mkuu JK atafanya kazi ngapi!!! Kwani Uraisi ni taasisi au one man SHOW?
 
Nimeangalia Taarifa ya Habari ITV saa mbili usiku leo na kumshuhudia Rais Kikwete akiwakaripia wanachama wake wanaokichafua Chama hicho cha Zamani! Swali Je, mbona Rais wetu haoneshi ukali wa namna hiyo kwenye matukio kama mauaji ya raia, kukosekana kwa petrol, serikali na utendaji wake usioridhisha?
hayo mengine kwakumia maji ya kuwasha na akina Kamuhanda anaweza yamudu lakini chama kikipigwa chini wakiingia makamanda wanaweza mshitaki lazima aogope kwani yeye umemuona mjiiiiiiiiiinga
 
Hivi tz kuna rais?

Back
Top Bottom