Ukali wa Rais Kikwete!

Ukali wa Rais Kikwete!


Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel


Sina shaka kabisa na hii orodha.
 
Utaona jinsi hii issue itavyochukiliwa kwa wepeees..hii ndio africa
 
Naishauri Serekali ya Marekani ikate pesa ya Tezi Dume kutoka kwenye Ac ya jina la kwanza kwenye hiyo orodha.
 
Tuundeni chama cha ukombozi wa nchi- CCN. Hatutaki kisajiliwe hawatakubali! kijumuishe wanyonge wote wenye vyama na wasio na vyama! kazi iwe ni kuangusha huu utawala wa walafi! kama misri, libya na burkina! maandamano majiji yote nchini! hakuna dola duniani iliyowahi kushinda nguvu ya uma!
 
Back
Top Bottom