Ukali wa Rais Kikwete!

Ukali wa Rais Kikwete!

Nimeangalia Taarifa ya Habari ITV saa mbili usiku leo na kumshuhudia Rais Kikwete akiwakaripia wanachama wake wanaokichafua Chama hicho cha Zamani! Swali Je, mbona Rais wetu haoneshi ukali wa namna hiyo kwenye matukio kama mauaji ya raia, kukosekana kwa petrol, serikali na utendaji wake usioridhisha?
hutoa kauli kama hizo mara kwa mara, aliwahi kusema hivo kwa wauza unga, wala rushwa TRA,wauwaji wa zeru zeru, .....etc, the barking dog seldom bite.
 
Hizi tabia zimeanza lini? Sioni ukoo wa Mzee Mwinyi,Karume,wala Nyerere. Watz tunaelekea wapi,duniani pa kupita tu. Jasho la walala hoi halidhulumiwi bure,kweli tumwogope Mungu!
 
Poor argumentation!

Basi ninyi wenye "strong argumentaion" mwambieni Mheshimiwa rais awe anatembea na kisu mfukoni kwa ajili ya kuwachinja watu wote wanaotuhumiwa labda ndo mtaridhika kuwa rais ni "mkali". Sisi wenye poor argumentation tutabaki tunatazama au kuhudhuria mazishi ya watakaochinjwa na rais!!!!!
 
hivi raisi kikwete ni mkali?
mh n ilikuwa sijui kabisaaaaaaa.
 
Basi ninyi wenye "strong argumentaion" mwambieni Mheshimiwa rais awe anatembea na kisu mfukoni kwa ajili ya kuwachinja watu wote wanaotuhumiwa labda ndo mtaridhika kuwa rais ni "mkali". Sisi wenye poor argumentation tutabaki tunatazama au kuhudhuria mazishi ya watakaochinjwa na rais!!!!!

kiongozi unaonekana umekasirika,

kwikwiwkwi sipati picha kama JF ingekuwa jukwaa halisi la kuonana uso kwa uso na majadiliano haya nakozi na vitu nyenye ncha kali zingekuwa zinapigwa kama vijana wa ccm katika mikutano na chaguzi zao kavukavu. :target: :fencing:
mimi :cheer2:
 
hivi ukali wa mtu unapimwa kwa maneno?
hivi mama au baba akiwa anasema tu anasema hata kibao hapigi mtoto mtukutu ataacha kweli ujinga ujinga?
ila akimpa vya ukweli? akasema akagomba halafu mtoto hasikii akamtandika mtoto atajua kumbe maneno yale yalikuwa ya kweli na nisipofwata nitaadhibiwa. sasa usemaji bila matendo ni udhaifu, yani wewe unaogopa hivyo unaishia kusema tu, au unataka majirani wasikie kuwa unakemea kumbe huna loloteeeeeeeeeeee.
 
Acheni unafiki wenu ninyi. mbona Pinda (Waziri mkuu) aliooneshaga ukali kwa wanaoua maalbino kwamba nao wauawe, badala ya kumsifia mkaanza kumwona kama kiongozi dikteta asiyefuata sheria. Sasa mnataka rais afanyeje? Subirini mjukuu wa Dr. Slaa atakapokuwa rais mwaka 2065 ndo mmwambie awe mkali wa kuchinja watu hadharani CCM haina sera hizo labda CHADEMA. CCM inafuata sheria na ndo maana kuna mahakama, polisi jeshi nk na si ukali wa mtu ndo uendeshe nchi!!!!
 
kwa katiba yetu ya sasa raisi ana madaraka makubwa sana, hivyo kama kweli yupo serious angetumia hayo madaraka yake yaliomaradufu kutuonesha kuwa yu mkali. kufukuza wakati wowote na kuweka mwingine wakati wowote

soma

katiba ya jamuhuri ya mungano wa Tanzania ya mwaka 1977
sura ya pili, sehemu ya kwanza, RAIS
ibara ya 33, ibara ndogo ya 2 hafu soma,
ibara ya 34, ibara ndogo ya 3 na 4
ibara ya 35 ibara ndogo ya 2
ibara ya 36, ibara ndogo ya 1,2 na 3.

kwa namna hii utasema kuwa hatupasi kumlaumu rais kwa uzembe anaoufanya wa kuacha mambo yanajiendea kiholela na katiba imempa madaraka kedekede, kwa namna hii basi bora tubadili katiba watu wengine wawe na meno pengine wanaweza kukemea kwa vitendo ujingaujinga unaoendelea.
 
Acheni unafiki wenu ninyi. mbona Pinda (Waziri mkuu) aliooneshaga ukali kwa wanaoua maalbino kwamba nao wauawe, badala ya kumsifia mkaanza kumwona kama kiongozi dikteta asiyefuata sheria. Sasa mnataka rais afanyeje? Subirini mjukuu wa Dr. Slaa atakapokuwa rais mwaka 2065 ndo mmwambie awe mkali wa kuchinja watu hadharani CCM haina sera hizo labda CHADEMA. CCM inafuata sheria na ndo maana kuna mahakama, polisi jeshi nk na si ukali wa mtu ndo uendeshe nchi!!!!

mkuu,
CCM INAFUATA SHERIA UNA UHAKIKA NA UNACHOKISEMA? sheria ipi ccm inayoifuta?
pinda alifanya nini katika maalbino zaidi ya kulia hadharani?
 
Acheni unafiki wenu ninyi. mbona Pinda (Waziri mkuu) aliooneshaga ukali kwa wanaoua maalbino kwamba nao wauawe, badala ya kumsifia mkaanza kumwona kama kiongozi dikteta asiyefuata sheria. Sasa mnataka rais afanyeje? Subirini mjukuu wa Dr. Slaa atakapokuwa rais mwaka 2065 ndo mmwambie awe mkali wa kuchinja watu hadharani CCM haina sera hizo labda CHADEMA. CCM inafuata sheria na ndo maana kuna mahakama, polisi jeshi nk na si ukali wa mtu ndo uendeshe nchi!!!!

wana ccm wakiguswa panapo wanakuwa wakali haoooooo. ila hapo katika bold ............
 
ona huyu bijibuji kapost hii
Mwenyekiti wa CCM taifa is very funny...nimemuona kwenye news leo akiwa anakemea rushwa kwenye chaguzi za chama chake huku anacheka...na mara wajumbe wote wanacheka kwenye ule mkutano wa wazazi...i mean the all party is crazy!!!

hii inaonesha kabisa jk hayuko makini na huku mnakuita kugomba, kufoka, kukemea?
 
Namshangaa anakaripia vitendo vya rushwa( ambavyo anavijua, tunavijua..na watoa,wapokea rushwa wanajulikana) lakini hii ni sawa kwake!

Kwanini asihakikishe wanachukuliwa hatua?
TAKUKURU wako wapi?
Kwa vitendo vya wazi (Obvious) hivi vinavyotendeka na hamchukui hatua, kweli tutaamini mnafanya kazi yenu kiuhalali? Kiusawa?

takukuru hawana meno kwa baadhi ya watu.
 
Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi
September 15, 2012

Kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,

Juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.

Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.

Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;

Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.

Orodha kamili ni:

Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel

Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.
 
the usual suspects..i didn't know zitto is this loaded!
 
Namna hii kuitoa ccm madarakani wengi wao lazima wata "Kighoma malima" je hapo wangapi wameweka kihalali na wangapi ni magumashi?
 
Back
Top Bottom