Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Sema utamu Wa hii biashara wauzaji wanapiga dabodabo. Kwanza anapata pesa Pili anafaidi utamu akikutana na MTU anayejua majukumu yake vema,
Wakati Hugo mfanyakazi mshahara wake mnono anaweza akapitisha miezi kadhaa bila kugegeduliwa.!!
Nikweli wanafaidi sana na ukikutanao mchana huwezi kuwadhania kabisa
 
huduma bora sana hii ya fasta fasta..
ukipata tu, huna wasiwasi wa kukerwa na simu, mizinga, vibomu wala matumiza makubwa ya pesa..
Ebu tuangalie na kuwianisha hapa kama ukichukua malaya na mtoto wa geti/home/mwanafunzi/mfanyakazi mwenzio.
1. Mtoto wa geti/home/mwanafunzi/mfanyakazi mwenzio hadi ugegede itakupasa utumie si chini ya 40,000/= kwa siku moja kama ifuatavyo
a. uweke vocha, umpigie ili muweke apointment, hapa utatumia =1,000.
b. upande daladala umfuate, ukitumia mwendokasi 650*2 =1,300
c. uende nae sehemu mnywe ata bia tatu tatu za kuanzia 2,500*2*3 =15,000
d. bado hatujashushia na mapande au ata mishikak 4,000*2 =8,000
e. maji ya kunywa, kwa kujibana unanunua k/njaro kubwa 1 = 1,500
f. asa muda wa mgegedo wenyewe chumba bei rahis 15,000 = 15,000
g. muda wa mgegedo umeisha utafumba macho tax unampa 5,000 = 5,000
jumla = 46,800

2. uikienda kwa malaya sasa...
a. daladala kuwafuata waliko 650*2 = 1,300
b. malipo yao tu maana tayar wanasehem zao = 2,000
jumla = 3,300

kwa mantiki hiyo basi, kumgegeda malaya utakua umesave hela nyingi karibia 43,500 kwa kwenda kwa hivi vitoto vya chuo, nyumbania au wafanyakazi enzako.
kwa hako kautafiti kadogo, nnapata jeuri ya kusema gegeda sana malaya okoa pesa
NAWASILISHA....!!!
Asante sana mkuu kwa utafiti wako wa kizalendo ili tuweze kubana na hatimaye tuendane na kasi ya hii awamu ya five
 
Naona wewe maisha ya chuo hujayajua vizuri, chuo unapigika unakosa hadi sabuni wakati boom hujui linaingia mwezi gani!
Chuoni saivi unapewa 500000 kwa miezi miwili, kama si ulafi na kutokujua kupanga matumizi ni kitu gani? Hivi kweli shilingi laki 5 haikutoshe mpaka ufike hatua ujiuze
 
fresh tu acha watengeze coins hakuna elimu hakuna ajira hawana mitaji wamezalishwa wametelekezwa umri unaenda hawana pakujishika wafanyeje mimi kama ningekua raisi ningewasaport fanyeni wala msihofu
 
Ebu tuachieni ha watu sasa mnataka tuje kwa wake zenu? Kila mtu anadhambi zake isipokuwa tu wengine zambi zenu mnafanya huku mmejificha.
 
Tusiwalaume wakina dada kwani wanunuzi ni Wanaume, kama hakuna wanunuzi wasingejiuza
HASWAA UMENENA....WANAUME WENYEWE MACHO KODO KODO KUTAKA VYA BEI RAHISI UNAFIKIRI BIASHARA ITAKUFA. HEBU WAWACHUNIE SIKU MBILI TATU UONE KAMA ITIGI ITAKUWEPO......MUNGU ATUSAIDIE TUPAMBANE NA HILI
 
Alafu ukiwa naye anajifanya kukuita baby aisee inaniudhi sana maana najiona kama ananiona bonge la zuzu
Hapo sawa mkuu.Alafu anajidekeza balaa ili umbembeleze, atakutegemea hadi uhuisi kuwa hana wasaidizi wengine.....akikukosa kwa simu tu atalalamika sana...ila wewe ukimkosa atakufix na kukupooza kwa maneno mazuri kumbe ana madanga kama tano hivi.....wewe anakuona zuzu la kuuzia kitaani na maclab ambako wewe ndiye unayegharamia hahahahaaaa.
 
Back
Top Bottom