Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Sema utamu Wa hii biashara wauzaji wanapiga dabodabo. Kwanza anapata pesa Pili anafaidi utamu[emoji39] akikutana na MTU anayejua majukumu yake vema,
Wakati Hugo mfanyakazi mshahara wake mnono anaweza akapitisha miezi kadhaa bila kugegeduliwa.!!
Nikweli wanafaidi sana na ukikutanao mchana huwezi kuwadhania kabisa
 
Asante sana mkuu kwa utafiti wako wa kizalendo ili tuweze kubana na hatimaye tuendane na kasi ya hii awamu ya five
 
Naona wewe maisha ya chuo hujayajua vizuri, chuo unapigika unakosa hadi sabuni wakati boom hujui linaingia mwezi gani!
Chuoni saivi unapewa 500000 kwa miezi miwili, kama si ulafi na kutokujua kupanga matumizi ni kitu gani? Hivi kweli shilingi laki 5 haikutoshe mpaka ufike hatua ujiuze
 
fresh tu acha watengeze coins hakuna elimu hakuna ajira hawana mitaji wamezalishwa wametelekezwa umri unaenda hawana pakujishika wafanyeje mimi kama ningekua raisi ningewasaport fanyeni wala msihofu
 
Ebu tuachieni ha watu sasa mnataka tuje kwa wake zenu? Kila mtu anadhambi zake isipokuwa tu wengine zambi zenu mnafanya huku mmejificha.
 
Tusiwalaume wakina dada kwani wanunuzi ni Wanaume, kama hakuna wanunuzi wasingejiuza
HASWAA UMENENA....WANAUME WENYEWE MACHO KODO KODO KUTAKA VYA BEI RAHISI UNAFIKIRI BIASHARA ITAKUFA. HEBU WAWACHUNIE SIKU MBILI TATU UONE KAMA ITIGI ITAKUWEPO......MUNGU ATUSAIDIE TUPAMBANE NA HILI
 
Alafu ukiwa naye anajifanya kukuita baby aisee inaniudhi sana maana najiona kama ananiona bonge la zuzu
Hapo sawa mkuu.Alafu anajidekeza balaa ili umbembeleze, atakutegemea hadi uhuisi kuwa hana wasaidizi wengine.....akikukosa kwa simu tu atalalamika sana...ila wewe ukimkosa atakufix na kukupooza kwa maneno mazuri kumbe ana madanga kama tano hivi.....wewe anakuona zuzu la kuuzia kitaani na maclab ambako wewe ndiye unayegharamia hahahahaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…