Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

assee mkuu kweli kabisa,
hii inakata maana nimeshtuka..!!
 
Siyo KAYUMBA bali ni KAHUMBA.....pale polisi wanazngua lkn wapo tu na ukitaka ufaidi nenda mchana
Hao polis ni longolongo tu wanawazibia watu kupata mkate wao wa kila siku kwani ajira zenyewe hakuna
 
Mkuu unakwepa majukumu?
majukumu wapi mkuu...
izi toto zenyewe pasua kichwa, majukumu mpaka nwe nae kwa ndoa
sasa fikiria, una vitoto kama ivo vitano..utatumia tsh ngapi kwa mwezi.!!
au salary yote inaishia uko tu na mambo mengine hayaendi..!!??
 
Wewe utakuwa ni mtu wa mikopo kila mwezi naona huo ushauri wa kupata hiyo huduma ya itigi ni bora kwani ni F&P huna kufuatana fuatana
 
Makonda hana lolote mbona dar kashindwa,, kule yemeke wale makahaba wapo hadi leo,, ambians ndo kabisaaa kibaooo
Teeeeeeh Teeeeeeeh kati ya mitihani ambayo amemtoa Tko
 
Makonda hana lolote mbona dar kashindwa,, kule yemeke wale makahaba wapo hadi leo,, ambians ndo kabisaaa kibaooo
Hata hapo makaburini kinondoni ni wa kumimina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…