johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,129
Naona wafanyabiashara wakipata ahueni, TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.Serikali imewasalisha bungeni muswada wa sheria wa kuyaondoa majukumu ya ukaguzi wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyapeleka TBS.
TFDA itabadilishwa jina na kubakiwa na jukumu la kusimamia ubora wa madawa
Mawasilisho ya muswada yamefanywa na naibu waziri wa fedha.
Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Je serikali imekosa gharama za kuiendesha TFDA?Serikali imewasalisha bungeni muswada wa sheria wa kuyaondoa majukumu ya ukaguzi wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyapeleka TBS.
TFDA itabadilishwa jina na kubakiwa na jukumu la kusimamia ubora wa madawa
Mawasilisho ya muswada yamefanywa na naibu waziri wa fedha.
Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Kwani TBS siyo taasisi ya serikali?!!!Je serikali imekosa gharama za kuiendesha TFDA?
Kwani TBS siyo taasisi ya serikali?!!!
KULIKUWA HAMNA UMUHIMU WA TAASISI MBILI ZA SERIKALI KUSIMAMIA VIPODOZI NA DAWA KWA PAMOJA. HUU ULIKUWA MZIGO MKUBWA SANA KWA WALAJI NA WAFANYABIASHARA. Kumbuka usimamizi unaenda sambamba na utozaji wa tozo mbalimbaliJe serikali imekosa gharama za kuiendesha TFDA?
walikuwa wanatoa mpaka leseni ya kuruhusiwa kufanya biashara ya vipodozi na dawa.TIEFDIAA hawana tofauti na TIARAEI
Ova
Sidhani kama serikali imekosa hela ya kuiendesha TFDA ila siku hizi taasisi nyingi za serikali zimekua kimapato zaidi yani zimekua zinatozo nyingi sana hivyo katika kuondola mlolongo wa tozo nyingi serikali imeona majukumu hayo yapelekwe TBS na ukiangalia vizuri TBS na TFDA zinafanya kazi zinazoingiliana kwa ukaribuJe serikali imekosa gharama za kuiendesha TFDA?
Hahahaa....... Unaulizia gharama kwani umeambiwa TFDA imefutwa?Hujanijibu swali langu? me sijauliza kama TBS ni taasisi ya serikali au siyo ya serikali.
Afadhali bhana mi niliona uvivu hata kumjibu!Sidhani kama serikali imekosa hela ya kuiendesha TFDA ila siku hizi taasisi nyingi za serikali zimekua kimapato zaidi yani zimekua zinatozo nyingi sana hivyo katika kuondola mlolongo wa tozo nyingi serikali imeona majukumu hayo yapelekwe TBS na ukiangalia vizuri TBS na TFDA zinafanya kazi zinazoingiliana kwa ukaribu
Tatizo sio gharamaza kuiendesha ila ni usumbufu kwa wafanyabiashara. Kwa kua inawapotezea muda pia kuna ada na faini hapa ndo urasimu unaanzia.Je serikali imekosa gharama za kuiendesha TFDA?
Tunalipa hela lkn cha kushangaza hata file la kutunza doc. zako unanunua mwenyewe, ila watumishi wake wanaonekana wako njema sana dharau nyingi kupita kiasi magari ya kila ainaJe serikali imekosa gharama za kuiendesha TFDA?
Its progress lakini bado wameonyesha kigugumizi kwa kutokuuelewa vizuri mkanganyiko wanaoupata wafanyabiashara na wazalishaji mbalimbali; best way forward ilikuwa kuifuta TFDA mazima na kuhamishia majukumu yake yote TBS; si ndio maana yake Tanzania Bureau of Standards; STANDARDS across the board WITHOUT EXCEPTION!Serikali imewasalisha bungeni muswada wa sheria wa kuyaondoa majukumu ya ukaguzi wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyapeleka TBS.
TFDA itabadilishwa jina na kubakiwa na jukumu la kusimamia ubora wa madawa
Mawasilisho ya muswada yamefanywa na naibu waziri wa fedha.
Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Hii ni kutokana na kujisahau Kwa mazoea ya "Bussiness as usual" mfano TFDA Wana Sheria moja ambayo imepitwa na wakati lakini ndio uchochoro wao mkubwa wa rushwa, ni pale Sheria inapotaka urefu wa Kati ya duka na duka la dawa kuwa umbali wa meta 100-300...sasa angalia uhalisia ukiwa mtaani utakuta maduka mawili yapo jengo mojaTunalipa hela lkn cha kushangaza hata file la kununua kutunza doc. zako unanunua mwenyewe, ila watumishi wake wanaonekana wako njema sana dharau nyingi kupita kiasi magari ya kila aina
Afadhali wameunganisha!Kama HUJAWAHI FANYA BIASHARA kukutana na hao watu huwezi kuelewa umuhimu wa hili serikali ililofanya. Bora saiv udeal na mtu mmoja. Sio bidhaa moja kote unalipa mfulilizo WA tozo na wakati mwingine mwingiliano ni mkubwa