Mwakasege go back to the books. Kaburu ina maana zaidi ya mzungu aliyezaliwa na kukulia Afrika Kusini ambaye asili yake ni Uholanzi, ina maana pia ni mzungu na mbaguzi, hili neno hasa lilikuja wakati wa ubaguzi wa rangi kule Afrika Kusini. Hata hivyo magari hayo sio kama "wanaibiwa" wao tu, hata weusi wanaibiwa pia. Unajua ni vizuri kumuta biaadamu mwenzio kwa jina zuri, sio vizuri kumtambulisha mwenzio kwa rangi yake....kama unakumbuka hata JKN aliwahi kuwaita baadhi ya watu Tanzania ndani ya CCM ni makaburu, what did he mean?