Kuna mwongozo ulioasisiwa na babu Asprin kuwa memba wapya hususan 'ke' wanakaguliwa na babu kwa usalama wa wana JF! mwongozo huo umefahamika kwa memba wote wa cc na mmu kazi ambayo kwasasa inafanyika chini ya Filipo .
swali ni je memba wa kiume wanakaguliwa na nani? kama hayupo tuchague?
Kuna ma bi dada watatu walikuwa wanafanya hiyo ya kukagua me. Ni kama walianza kuzidiana kete. Pengine wakipita hapa watajitambulisha. Mi nina bifu nao as walianza kukagua hata baba zao.