Ukabila, Ukanda na Udini ni kete ya mwisho ya CHADEMA?

Kabudi - Dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante ndugu, nimeshaongezea.

Makamu wa Rais - Zenje
Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi ;
Lukuvi - Iringa
Mwakyembe - Mbeya
Simbachaweni - Dodoma
Makamba - Tanga
Ummy Mwalimu - Tanga
Maghembe - Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro
Mpango - Kigoma
Ndalichako - Kigoma
Mwigulu - Singidag
Mbarawa - Zenji
Kabudi - Dodoma
Nape - alikuwa Lindi
Muhongo - Mara
Mahiga - Iringa
Lwenge - Iringa
Mhagama - Ruvuma
Mwinyi - Zenji

Huu ukabila na ukanda upo wapi hapo, Lissu atavuna tu chuki anayopanda 2020
 
Siasa za ukanda/ukabila ukishazileta hadharani moja kwa moja tunaamin hutupendi na ulikusudia kutuattack tutakuchukia upende usipende!!..
At certain times kila mtu anapenda kupewa kipaumbele hiyo ni human nature!..
Tunamsubiri Lissu kanda ya ziwa aje tueleza alimaanisha nini kwenye kauli zake!!..
 
Chama chochote kinapokosa hoja huwa inakimbilia Udini na Ukabila. Chadema sasa ndio imekuwa kimbilio cha mafisadi na kuna mwelekeo wa wanatumika kujaribu kuharibu legacy ya Rais Magufuli.
 
MsemajiUkweli: mada yako imejaa hoja nzito ambazo naamini mtu makini hawezi kuzipuuza. Tanzania ya leo unaibua suala la ukabila na dini, unajitafutia kutengwa na jamii.

UMOJA NI NGUVU
Inawezekana wamejipanga vizuri ili wanufaike kisiasa!

Muda utatueleza vizuri.
 
Tanzania ni zaidi ya siasa za kwenye mitandao. Hawa wanaomshangilia kwenye mitandao ni sehemu ndogo sana ya wapiga kura nchini.

Hakuna atakayepambana na Lowassa ndani ya CHADEMA ili awe mgombea kwa tiketi ya CHADEMA.
Viongozi wote wakuu wa CHADEMA wakemuwa wafungua mlango wa gari yake halafu watapata wapi uwezo wa kumpiga stop.

Ninakuhakikishia kama Tundu Lissu atagombea hii silaha ya ukabila, ukanda na udini itamdhoofisha sana ikitumiwa na CCM ambao wana uzoefu kwenye propaganda.

Sifahamu CHADEMA wamejipanga vipi lakini ninachojua Tundu Lissu amewapa CCM silaha ya kuiangamiza CHADEMA.
Umenena Kiongozi.

Na ndio maana Kipindi cha Uchaguzi uliopita Mwaka Elfu mbili na Kumi na tano (2015), humu Kelele zilikuwa nyingi sana lakini baada ya Matokeo palikuwa Kimya sana, ilichukua takribani kama Wiki Tatu hivi Wadau kuanza kurudi na kuanza kuchangia Mada mbali mbali.

Ukweli ni kwamba Mitandaoni kuna wapiga Kelele, lakini inapokuja kwenye Utendaji/Utekelezaji ogopa sana wale Watu ambao hawasikiki
 
Ninachojua mlishinda kwa kura 750,000... juu ya uwa vyombo vyote vya ulinzi ukiwa upande wa ccm
Kule Zanzibar tayari hamna chenu mlikataliwa.
Mnacho takiwa kufanya ni kulinda hizo kura zisipungue zaidi ambapo sioni dalili ...laiti ingekuwa hakuna kamata kmata na kuwazuia ukawa wasifanye mikutano basi ccm ingekuwa imekwisha tayari...
Ipo hai kwa sababu polisi wameshikilia drip ICU
Unajaribu kutaka kunifahamu lakini nadhani unapoteza muda tu.

Mambo ya kusema tulishinda kwa kura 750,000 ni kujifurahisha kwa sababu hunijui na mimi sikujui na sihitaji kukujua. Kinachotakiwa hapa ni moja na sio mtoa hoja.

Mlishindwa kumshinda yule mliyekuwa mnamuita dhaifu, kwa sasa ndio mnataka kutuaminisha kuwa huyu ambaye sio dhaifu mtamshinda.

Kuanzia mwaka 1995 mnasema mmeibiwa kura. Kwa hiyo kwa sasa hamtaibiwa kura kama mkiruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara?

Hoja zako zimejaa ukinzani kimantiki.
 
Kuna Kitu inabidi labda tujiulize hapa:

Kwa nini baadhi ya binadamu hawawezi kuvumilia tofauti walizo nao dhidi ya watu wengine?

Kuna watu by nature ni wabaguzi na hawapendi watu wasiofanana nao ama kimawazo au kimuonekano!

Kuna watu kama yeye ni mrefu basi kwa hulka yake hapendi tu kumwona mtu mfupi. Kila akimuona atatoa neno baya juu yake bila sababu yoyote. Hapendi tu kumwona kwenye kampani yake.

Kuna baadhi ya watu wanene hawapendi watu wembamba bila sababu. Yani hawawapendi tu bila sababu.

Hata kwenye siasa kuna watu hawapendi watu wenye mitizamo tofauti na ya kwao na hawapo tayari kuwavumilia.

Kuna baadhi ya watu ambao hawawapendi watu wa dini tofauti na zao. Yani hawawapendi tu bila sababu. Yani mtu hampendi mtu wa dini nyingine hata kama ni mwema kiasi gani. Kwake ni mbaya tu bila sababu kisa imani tofauti.

Kuna watu hawapendi watu wa kabila lingine bila sababu. Yani hawawapendi tu kwa sababu ni kabila tofauti na la kwake hata kama ni wema kiasi gani. Hawa hata watoto wao hawapendi waoe mtu wa labila lingine tofauti na la kwake. Ni watu wenye hulka hiyo, hawana huruma na watu wa kabila lingine hata kama watatendewa wema kiasi gani !

Kuna watu hawapendi watu wa rangi tofuti na za kwao . Yani kama ni mweupe basi hampendi mtu mweusi bila sababu hata kama ni mwema kiasi gani!.

Watu wenye hulka hizo wakipata nafasi za kimaamuzi basi watasimamia zile hisia zao na zitaonekana sana zikitenda kazi.

Neno la Mungu linasema:
Upendo huvumilia
Upendo hauhesabu mabaya.
Upendo hautafuti mambo yake.
Upendo haukosi adabu.
Upendo hauoni uchungu.
Upendo haufurahii udhalimu.
Upendo hufadhili.
Upendo hauhusudu.
Upendo hautakabari.
Upendo haujivuni.

Bali Upendo;
Hufurahi pamoja na kweli.
Huvumilia yote.
Huamini yote.
Hutumaini yote
Hustahimili yote.

1Wakorintho 13: kuanzia mstari wa 4 maneno hayo yanafafanuliwa vizuri.

Hizo ndizo sifa za upendo .

Kusema tu unawapenda wengine lakini matendo yako hayafanani na yaliyotajwa hapo utakua unawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Watu wengi wanaapa kwa kushika mkononi Biblia/Qurani bila kushika moyoni neno la Mungu lililomo ndani ya Biblia/Quran hiyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nani aliyechaguliwa ambaye hana sifa au ana under perform ? AG alichaguliwa na JK, IGP au CDF kutokea kanda ya ziwa si swala la ajabu, sote tunajua jeshi letu limejaa watu wa huko.
Makama wa Rais- Zenji
Waziri Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi;
Mwakyembe- Mbeya
Makamba- Tanga
Lukuvi - Iringa
Mpango - Kigoma
Ndalichako- Kigoma
Ummy Mwalimu- Tanga
Mhagama - Ruvuma
Simbacheweni - Dodoma
Kabudi - ???
Nape alikuwa kutoka Lindi
Muhongo alikuwa kutoka Mara
Maghembe- Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro

Hizi kelele zinatoka wapi sasa , au ndio kuishia hoja ?
Umesikiliza hotuba ya Lissu au unatuletea list of shame yako ulodesign ww na Ngossha Mshiu
Uliza DOTO uambiwe n nan na viongoz wa Majeshi Mabalozi ,PS alochagua tafit wametoka kanda gan km si ya Samaki Kwan hao ktoka kanda nyingine hawana s1fa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana tu aisee.

Kwa mfano Dar kuna Wasukuma na Wahaya kibao tu.

Lissu kakosea sana kuihusisha hiyo kanda nzima na huo upendeleo ambao haupo.

Watu wa kanda ya ziwa wakiamua kufanya kweli CHADEMA itakufa kabisa.
Ndoto za Alinacha hizo naona mnabashir km waganga wa kienyeji kwa kupiga ramli hku JF [HASHTAG]#Msema[/HASHTAG] Uwongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesikiliza hotuba ya Lissu au unatuletea list of shame yako ulodesign ww na Ngossha Mshiu
Uliza DOTO uambiwe n nan na viongoz wa Majeshi Mabalozi ,PS alochagua tafit wametoka kanda gan km si ya Samaki Kwan hao ktoka kanda nyingine hawana s1fa?


Sent using Jamii Forums mobile app
Makamu wa Rais - Zenje
Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi ;
Lukuvi - Iringa
Mwakyembe - Mbeya
Simbachaweni - Dodoma
Makamba - Tanga
Ummy Mwalimu - Tanga
Maghembe - Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro
Mpango - Kigoma
Ndalichako - Kigoma
Mwigulu - Singidag
Mbarawa - Zenji
Kabudi - Dodoma
Nape - alikuwa Lindi
Muhongo - Mara
Mahiga - Iringa
Lwenge - Iringa
Mhagama - Ruvuma
Mwinyi - Zenji

Huu ukabila na ukanda upo wapi hapo, Lissu atavuna tu chuki anayopanda 2020
 
Makamu wa Rais - Zenje
Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi ;
Lukuvi - Iringa
Mwakyembe - Mbeya
Simbachaweni - Dodoma
Makamba - Tanga
Ummy Mwalimu - Tanga
Maghembe - Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro
Mpango - Kigoma
Ndalichako - Kigoma
Mwigulu - Singidag
Mbarawa - Zenji
Kabudi - Dodoma
Nape - alikuwa Lindi
Muhongo - Mara
Mahiga - Iringa
Lwenge - Iringa
Mhagama - Ruvuma
Mwinyi - Zenji

Huu ukabila na ukanda upo wapi hapo, Lissu atavuna tu chuki anayopanda 2020

Hesabu zako anza upya,anza na 0*0 had 12*12
 
Hesabu zako anza upya,anza na 0*0 had 12*12

Makamu wa Rais - Zenje
Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi ;
Lukuvi - Iringa
Mwakyembe - Mbeya
Simbachaweni - Dodoma
Makamba - Tanga
Ummy Mwalimu - Tanga
Maghembe - Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro
Mpango - Kigoma
Ndalichako - Kigoma
Mwigulu - Singidag
Mbarawa - Zenji
Kabudi - Dodoma
Nape - alikuwa Lindi
Muhongo - Mara
Mahiga - Iringa
Lwenge - Iringa
Mhagama - Ruvuma
Mwinyi - Zenji

Huu ukabila na ukanda upo wapi hapo, Lissu atavuna tu chuki anayopanda 2020
 
Hivy karibuni kuna matamko yanayotoka kwa viongozi wa upinzani yanayohusu udini na Ukabila je hiyo ni dalili ya vyama hivi kukosa hoja za kisiasa na kuanza kuwagawa watanzania. Tukumbuke wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2015 ajenda kuu ya vyama vya upinzani ilikuwa ni UFISADI, baada ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani kwa muda wa miaka miwili Rais Magufuli ametimiza malalamiko yote yaliyokuwa yakilalamikiwa na vyama vya upinzani. Ni muhimu kwa vyama vya upinzani kumpongeza na kumuunga mkono Rais Magufuli badala ya kumtolea lugha isiyofaa kwani hakuna mwanasiasa anaweza kupata umaarufu kwa kutoa matusi kwa kiongozi mkuu wa nchi. Ifikapo 2020 kwenye uchaguzi mkuu watanzania wataamua.
 
Back
Top Bottom