Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,254
- 15,070
Naona waingereza wanakimbia, Iran wanaume tazameni Navy ya UK inavyo ufyata. 😀 😀
Hizi ndio capabilities za UK destroyers hapo inafuatwa air missile iliyo mbali maana ndege kusogea karibu aithubutu. Na zingine zina uwezo kurusha 47 anti missiles kwa wakati mmoja before re loading.
Hiyo ni propaganda video meli ilikuwa inawahi tanker Iran waliyoiteka ikitokea mbali awakufika in time na boti zote za Iran zilikuwa zishalengwa na machine guns awakuonyesha threat za kuwa attacked.
Propoganda? Hivi wewe hujui hii ni habari ya week hii, wewe unauhakika gani kama propoganda? Leta dalili wacha kutuwekea video iliopitwa nawakati.
Hizi ndio capabilities za UK destroyers hapo inafuatwa air missile iliyo mbali maana ndege kusogea karibu aithubutu. Na zingine zina uwezo kurusha 47 anti missiles kwa wakati mmoja before re loading.
Hiyo video ya kufukuza meli ni propaganda video meli ilikuwa inawahi tanker Iran waliyoiteka ikitokea mbali awakufika in time na boti zote za Iran zilizokuwa zinaifuata zilikuwa zishalengwa na machine guns awakuonyesha threat za kuwa attacked.
Hivi unadhani wenyewe hawajui hilo kwamba vita kwenye maji ya Iran ni hatari. Halafu hizo destroyer na zenyewe zina radar za kujua mpaka chini ya maji kuna nini.Ikirushwa ballistic moja tu on target hamna cha destroyer wala protector, zitazamishwa kwa seconds 3 tu, unafkiri washirika wengine kujitoa kwenye eti waoita kulinda meli zao zidi ya Iran ni nn?? Iran wana sabmarine ambazo zina uwezo wa kuzamisha chochote pale, nimeona zinavyorusha Missils kutoka chini ya bahari, nikajua hawa jamaa ni zaidi ya noma
Mkuu unachosema wew kuwa Uk walikuwa wanakimbiza kwenda kuzuia ile tanker ya isichukuliwe na Irani ni kweli.. Ila unajua walichogundua ni kuwa Irani iko tayari kwa vita...
Hizi ndio capabilities za UK destroyers hapo inafuatwa air missile iliyo mbali maana ndege kusogea karibu aithubutu. Na zingine zina uwezo kurusha 47 anti missiles kwa wakati mmoja before re loading.
Hiyo video ya kufukuza meli ni propaganda video meli ilikuwa inawahi tanker Iran waliyoiteka ikitokea mbali awakufika in time na boti zote za Iran zilizokuwa zinaifuata zilikuwa zishalengwa na machine guns awakuonyesha threat za kuwa attacked.
ejmagnier.com
Hawa watu wanajua what escalates a situation especially US, UK and Russia.Mkuu unachosema wew kuwa Uk walikuwa wanakimbiza kwenda kuzuia ile tanker ya isichukuliwe na Irani ni kweli.. Ila unajua walichogundua ni kuwa Irani iko tayari kwa vita...
Kwanza walikuwa wametega boti yenye mabomu kwenye njia ambayo ambayo iyo meli ya Kijeshi ilikuwa inapita
Pia rada yao iligundua kuwa walikuwa wamelengwa na makombora ya Irani toka nchi kavu..
Ndo maana unamsikia yule Muirani anamwambia ndont risk your life..,kama uingeleza ingejaribu kulipua izo bot za irani moto ungewaka sku ile
Pitia hapa
![]()
Why did the UK commander of HM Montrose refrain from firing on the IRGC? Who in Iran gave orders to capture the “Stena Impero”?
Iranian IRGC Naval unit onboard of the British-flag tanker “Stena Impero”. By Elijah J. Magnier: @ejmalrai The US officially asked Europe, in particular the UK, France, Germany and…ejmagnier.com
Naona waingereza wanakimbia, Iran wanaume tazameni Navy ya UK inavyo ufyata. 😀 😀
[emoji23][emoji23] uingereza sijui vipi kajiingiza huku nayeye angetulia tu
Huyo Iran akipunyuliwa nyie ndio wakwanza kubwabwaja oooooh anaonewa anaonewa.
Hao UK ni wababe sana na hawakufika hapo kwa kubahatisha bali kwa kushinda vita zao zoooote, yaani zile za wenyewe kwa wenyewe + kuvamiwa na dola nyingine + zile za kuvamia na kuteka maeneo mengine na bado ndio wafitini waliobobea zaidi kuliko taifa lolote.
Yule Boris Jonhson ndo nembo halisi ya vile vijamaa vyenye asili ya Britons vinywa damu za watu, vinapenda vita hatariii vile.