Mkuu kweli kwnye sayansi ya anga za mbali Marekani imesonga saana.
Ila inapokuja swala la binadam anapambana na binadam mwenzake hapo ni swala mtambuka saana,
Wakati Marekani ipambana Vietnam tayari alikuwa ameshapeleka mtu mwezin... Lakin ile Apollo haikusaidia Marekan kushinda ile vita au kufikia Malengo.
Iran anajalibu kufanya ushawishi ME, ambapo kuna masrahi mapana ya Marekani, marekani kutokana na Petrodollar ambayo ni inaifanya marekani kuwa na ushawishi dunian... Na Marekan maadui wanamuombea njaa..
Ivyo akiingia kwenye vita hatakuwa anapambana na Iran peke yake,mfano jana imezindua makombora na rada ambayo ona adui aliaa km 400, kuoni iyo ni S400.. Unadhani irani anaweza pambana mwenyewe??
Pitia hapa
Iran “won’t be alone” if the United States decides to launch a military strike on the Islamic republic, a senior Russian diplomat said on Wednesday.
www.themoscowtimes.com