UK naona anamuogopa Muiran

UK naona anamuogopa Muiran

Anaetaka mazungumzo ni US ambayo dunia nzima ailewi kwanini walivunja nuclear deal na wala hakuwa na support.

On other hand UK wao wanachotaka meli yao or else.

UK anazo sababu za ku mobilise support wakati marekani hana za kuivamia.

Kwa ivyo marekani imepata njia ya kuivamia kupitia mgongo wa UK

Timing ya UK mbaya kwa sababu uongozi umebadilika kuna swala la waziri mkuu kujijengea trust hawa wenzetu wanataka kuona kiongozi ni mtu ambae wanaweza muamini kwa ivyo alikuwa na ziara ndani ya union nations, kuna interest groups kibao zinataka assurance.

Bado Brexit et al kwa UK prime minister kutokana na siasa za ndani kwao sio ideal kuongea vita isitoshe vinataka ushawishi ma public support. Huo muda wa fitna hizo sio sahihi kwa mazingira ya sasa hila awajamsahau maana juzi tu PM wao kaongelea swala la kupeleka askari Yemen hila unajua hayo ni matayirisho ya Iran tu.
Duuuh yaan nimecheka sana pm kasema anapeleka askar yemen halaf ww unasema matayarisho ya iran ina maana ww unajua zaidi ya msemaji halaf mpaka wanapata taabu hio means wana muogopa bro usipoteze muda na aababu ziso na maana wala msingi hakuna nchi yakumpiga iran ndani ya hii miaka 20 cjajua huko mbeleni labda
 
OK
 
Back
Top Bottom