Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,213
- 6,390
Achen kelele, kila siku vitisho tu. Kama wana vifaa wampige Iran sasa tuone huo uwezo wa destroyer zao. Kama wana nia ya kuipiga Iran kwa nini wanasumbua kutaka mazungumzo?Kuna vitu vinafurahisha sana nimeweka video destroyer moja tu ya UK inapelekewa ndege 17 za Russia kuitishia why so? Kwa sababu wanajua inauwezo wa kutungua sio tu ndege zote 17 kwa wakati mmoja bali 47 if needed.
Sasa ikija flotilla utaitaji ndege ngapi maana kuna fleet ya destroyer 8 of the same type, ujaongelea bado super power US analeta nini.
Haya mawazo ya Iran anaweza pambana na West sijui mnayotoa wapi. Iran-US/UK sio sawa na Iran sijui Iraq, hao West wanatoka mbali ngoja wakamilishe vitendea kazi uone watamfanya nini.