UJUZI: Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu PayPal...

Al-Mende

Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
77
Reaction score
11
:help:
Habari zenu wadau, katika matumizi yagnu ya internet nimekuwa nikiingia kwenye websites mbalimbali za uuzaji wa bidhaa na kutoa huduma (mfano: amazon, ebay, ebooks e.t.c) ambazo zinahitaji malipo ya bidhaa hizo yafanywe kupitia PayPal account. Naomba msaada wa kujuzwa zaidi kuhusu hii PayPal, naamini kuna watu humu ndani walio na ufahamu kuhusu hili jambo
Ningependa maelezo hayo yanisaidie kufahamu yafuatayo:
1. PayPal ni nini?
2. Inafanyaje kazi/ inatumikaje?
3. Faida zake
4. Jinsi ya kujiunga na requirements za kujiunga
5. Na kwa kuwa huduma hii inainvolve money transactions, je inausalama kiasi gani?
pia kama kuna maelezo mengine ya ziada nje ya hizo guidelines ambayo yataniongezea ujuzi nitashukuru kuyapata.
Nawasilisha.

Moderators naomba msiimove hii thread kwenda kule Business and Economic Forum kwa sababu ninaamini huku ndiko nitakapopata michango mizuri zadi.
 
Ok mkuu paypal kwa uelewa wangu ni mfumo wa malipo ambao inabidi ujisajili baada ya kuwa na kadi yako ya aidha VISA, Mastercard n.k

Mfano ni mimi nilinunua kadi kupitia BankABC kwa $20 ambayo baada ya kununua unaachana na makato mengine yote hadi inapo expire.

Labda kama utakwenda kutoa fedha kwenye ATM utachajiwa Tshs 500.00 kama transcation charge.

Baada ya hapo nikaisajili paypal.

Kwa hiyo paypal ni nini sasa?

Paypal ni kama nikivyosema ni mfumo ambao mtumiaji anabidi ajisali ili aweze kulipia vitu online. Na siyo kulipia tu hata kupokea.

Mfumo huo unamuhakikishia mlaji usalama wa matapeli au hackers. Mfumo huo hautoi details za akaunti yako kwa mnunuaji na hivyo kuepuka madhara yasiyo ya msingi.

Pia mtandao huu kama una compromise na mnunuaji wanaweza kukurudishia hela kama hutapata bidhaa yako.

Lakini ili uweze kuisajili kadi yako inabidi uende kwenye mtandao wao ambao ni www.paypal.com na kujaza details za kadi yako kisha utakuwa unverified member.

Itabidi ulink card yako kwa kui conferm. Hapo ukifanya hivyo watapeleka namba kwenye bank yako na itakubidi urudi kwenye tawi ulilofungulia ili upate namba hiyo na kuja kuijaza na kuwa verified.

Wanafanya hivyo siyo kwa usumbufu bali makusudi maana mtu anaweza akaiba au akaiokota na kuisajili kisha akafanya malipo online kaka kadi ina credit balance. Kwa hiyo namba inapelekwa kwenye tawi ili kama siyo yako watakutambua kuwa siyo yako na hutapewa namba hizo.

Mara ukiwa verified unaweza kununua vitu online kwa salama na haraka.

Mfano umeona kitu mtandao wa ebay ambao mimi ndiyo nilinunua basi unaenda buy now na kisha utatakiwa kulipa kama muuzaji ana support paypal.

Once ukiconferm ni hapo hapo hela yako inakatwa kwenda kwa muuzaji na kisha wanakujulisha kuwa umekatwa kiasi fulani kwa ajili ya kitu ulichokinunua. Charges anakatwa muuzaji wa bidhaa na siyo wewe. Hapo unaepuka mlolongo wa kwenda mabank kama NBC, CRDB n.k kisha kuwa charged hela nyingi kwa ajili ya kutuma fedha hiyo.

Ni nzuri na salama kaka.
 
Pia mtandao huu kama una comprimise na mnunuaji wanaweza kukurudishia hela kama hutapata bidhaa yako.

Lakini ili uweze kuisajili kadi yako inabidi uende kwenye mtandao wao ambao ni www.paypal.com na kujaza details za kadi yako kisha utakuwa unvirified member.

Itabidi ulink card yako kwa kui conferm. Hapo ukifanya hivyo watapeleka namba kwenye bank yako na itakubidi urudi kwenye tawi ulilofungulia ili upate namba hiyo na kuja kuijaza na kuwa verified.

Wanafanya hivyo siyo kwa usumbufu bali makusudi maana mtu anaweza akaiba au akaiokota na kuisajili kisha akafanya malipo online. Kwa hiyo namba inapelekwa kwenye tawi ili kama siyo yako watakutambua kuwa siyo yako na hutapewa namba hizo.

Mara ukiwa verified unaweza kununua vitu online kwa salama na haraka.

Mfano umeona kitu mtandao wa ebay ambao mimi ndiyo nilinunua basi unaenda buy now na kisha utatakiwa kulipa kama muuzaji ana support paypal.

Once ukiconferm ni hapo hapo hela yako inakatwa kwenda kwa muuzaji na kisha wanakujulisha kuwa umekatwa kiasi fulanu kwa ajili ya kitu ulichokinunua.

Ni nzuri na salama kaka.

Umetoa maelezo mazuri sana mkubwa!!! Je ni bank gani zinazo-support matumizi hayo ya Paypal?? Maana kama hiyo BankABC huku mikoani haipo!!

Thanks Sana
 
Mkuu Mzee wa Rula umesema ABc ukisha nunua master/visa card 20$ haukatwi hela zaidi
Confirm plz maana mm CRDB
Wananikata 23,000/- za online transaction
20,000/- for Mpesa reversal maana huwa na fund kwa Mpesa
500/- ya ATM Na 500/- ya kuuliza salio Kwa Sim BANKING
 
Last edited by a moderator:

mbona mi sikatwi? crdb hata sh 10 hawakati crdb natumia acount ya mwanafunz
 
mkuu njunwa, hayo makato 23000 ni kwa muda gani? je makato hayo ni fixed au yanategemea na idadi na values za transactions ulizofanya?
 
Ok mkuu paypal kwa uelewa wangu ni mfumo wa malipo ambao inabidi ujisajili baada ya kuwa na kadi yako ya aidha VISA, Mastercard n.k

Mfano ni mimi nilinunua kadi kupitia BankABC kwa $20 ambayo baada ya kununua unaachana na makato mengine yote hadi inapo expire.

Labda kama utakwenda kutoa fedha kwenye ATM utachajiwa Tshs 500.00 kama transcation charge.

Baada ya hapo nikaisajili paypal.

Kwa hiyo paypal ni nini sasa?

Paypal ni kama nikivyosema ni mfumo ambao mtumiaji anabidi ajisali ili aweze kulipia vitu online. Na siyo kulipia tu hata kupokea.

Mfumo huo unamuhakikishia mlaji usalama wa matapeli au hackers. Mfumo huo hautoi details za akaunti yako kwa mnunuaji na hivyo kuepuka madhara yasiyo ya msingi.

Pia mtandao huu kama una compromise na mnunuaji wanaweza kukurudishia hela kama hutapata bidhaa yako.

Lakini ili uweze kuisajili kadi yako inabidi uende kwenye mtandao wao ambao ni www.paypal.com na kujaza details za kadi yako kisha utakuwa unverified member.

Itabidi ulink card yako kwa kui conferm. Hapo ukifanya hivyo watapeleka namba kwenye bank yako na itakubidi urudi kwenye tawi ulilofungulia ili upate namba hiyo na kuja kuijaza na kuwa verified.

Wanafanya hivyo siyo kwa usumbufu bali makusudi maana mtu anaweza akaiba au akaiokota na kuisajili kisha akafanya malipo online kaka kadi ina credit balance. Kwa hiyo namba inapelekwa kwenye tawi ili kama siyo yako watakutambua kuwa siyo yako na hutapewa namba hizo.

Mara ukiwa verified unaweza kununua vitu online kwa salama na haraka.

Mfano umeona kitu mtandao wa ebay ambao mimi ndiyo nilinunua basi unaenda buy now na kisha utatakiwa kulipa kama muuzaji ana support paypal.

Once ukiconferm ni hapo hapo hela yako inakatwa kwenda kwa muuzaji na kisha wanakujulisha kuwa umekatwa kiasi fulani kwa ajili ya kitu ulichokinunua. Charges anakatwa muuzaji wa bidhaa na siyo wewe. Hapo unaepuka mlolongo wa kwenda mabank kama NBC, CRDB n.k kisha kuwa charged hela nyingi kwa ajili ya kutuma fedha hiyo.

Ni nzuri na salama kaka.

ahsante mkuu kwa maelezo yako mazuri, nigependa kujua zaidi,
1.je ili kujiregister paypal ninatkiwa kuwa na kiasi gani cha fedha kama minimum requirement kwenye account yangu?
2.kwa sababu payments nyingi nlizoona za paypal zinatumia currency ya USD ($) na huku kwenye bank account yangu nimedeposit TZS je hio currency exchange inafanywa na nani, paypal au ni bank yangu inaconvert na kuwalipa paypal in USD?
 
mkuu Chief, hapo kwenye red je na ww pia unatumia paypal kupitia hio scholar account?

yap natumia paypal mkuu na niliweka tutorial yangu hapa kama mwaka umepita
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...za-paypal-na-link-na-kadi-yako-ya-benk-2.html

na ushahidi nilieka statement ya benk kulikua hakuna makato
attachment.php
 
Mkuu Mzee wa Rula umesema ABc ukisha nunua master/visa card 20$ haukatwi hela zaidi
Confirm plz maana mm CRDB
Wananikata 23,000/- za online transaction
20,000/- for Mpesa reversal maana huwa na fund kwa Mpesa
500/- ya ATM Na 500/- ya kuuliza salio Kwa Sim BANKING
Ni kweli mkuu wao biashara ni ile kadi basi. Baada ya hapo ni wewe kiendelea na hamsini zako kama ni kuweka sawa au vyovyote isipokuwa ukitoa fedha kwenye ATM tu. Hawana hata monthly charge.
 
Last edited by a moderator:
ahsante mkuu kwa maelezo yako mazuri, nigependa kujua zaidi,
1.je ili kujiregister paypal ninatkiwa kuwa na kiasi gani cha fedha kama minimum requirement kwenye account yangu?
2.kwa sababu payments nyingi nlizoona za paypal zinatumia currency ya USD ($) na huku kwenye bank account yangu nimedeposit TZS je hio currency exchange inafanywa na nani, paypal au ni bank yangu inaconvert na kuwalipa paypal in USD?
Currency yoyote haina shida ila mimi nilichagua dola kwa sababu najua exchange rate nyingi za mabank zipo juu kidogo tofauti na za mtaani. Kwa hiyo kama nataka kununua kitu online nanunua dola mtaani naenda kudeposit kisha nanunua nikitakacho.

Balance ya chini ni ile dhamana ya bank ambayo ni U$20 unaweza kuijisajili.
 
mbona mi sikatwi? crdb hata sh 10 hawakati crdb natumia acount ya mwanafunz

Maelezo kidogo hapa
Mfano account ilifunguliwa miaka kadhaa nyuma kwa address ya shule na sasa hautumii tena adresa ya shule, je hili linachukuliwaje??
 
ninavyojua hadi uende ukai upgrade ndio inakua sio ya mwanafunz.
 
Mkuu Mzee wa Rula umesema ABc ukisha nunua master/visa card 20$ haukatwi hela zaidi
Confirm plz maana mm CRDB
Wananikata 23,000/- za online transaction
20,000/- for Mpesa reversal maana huwa na fund kwa Mpesa
500/- ya ATM Na 500/- ya kuuliza salio Kwa Sim BANKING
Mkuu labda account yako itakua na shida, mimi nina akaunti crdb na nimeilink na paypal kitambo tu, nafanya online purchase wala sikatwi hicho kiasi unachosema! Hebu nenda tawi la karibu ukatoe mallamiko hayo makato makubwa sana!
 
je, naanzia wapi ili kuweza kujiunga? naanza kujiunga paypal alafu ndo niende kuchukua hzo namba benk au naanzia benk??????? Natumia nbc a/c
 
i have no idea mkuu ila nafkiri yatakua makubwa kuliko ya mwanafunz
Mkuu mi pia ni mtumiaji wa paypal nilijiunga miaka kadhaa iliyopita a/c yangu ni ya kawaida sio ya mwanafunzi lakini sijaona makato km hayo kwa crdb for sure unaweza tembelea web ya crdb angalia tarrifs charges zote zinaonyeshwa humo,kuhusu mtuma thread kwa maelezo zaidi jinsi ya kujiunga km yuko crdb kwa visa/mastercard anachotakiwa kufanya aende tawi lolote aombe form ya Online Purchase Enabling Request au adownload hiyo form ktk web ya crdb then akaijaze na kuipeleka tawi lolote la crdb ili itumwe makao makuu ili wakaactivate kadi yake,ikishakuwa activated sasa anaweza kuisajili ktk paypal baada ya kujaza details zake ktk paypal ataombwa na paypal kuverify kadi yake km ndo yeye mwenye nayo kwa kujaza verification code,kimsingi hiyo verification code ni transanction Id kwani paypal huwa wanafanya sample ya transanction ya Debit kwenye a/c yako ya kiasi kidogo cha pesa lakini baadae huwa wanakirefund.Sasa hii code paypap wakisha kunotify cose kwa email inabidi upige makao makuu ili waweze kukusomea hiyo code kwani inakuwa kwenye statement yako makao makuu na huwa inatumwa kwenye tawi lako monthly hivo tawini kwako hawawezi kuiona at the time makao makuu unaweza kuwasiliana nao kwa no.s 0714-
0789- }197700 na +255222197700
0755-
Kama ukipata ugumu popote usisite kuwasiliana na mimi kwa msaada no zangu 0767992250 ,0784992250 na 0658092250 emai:dkashombo@gmail.com,skype,Tango,Wahatsapp,facebook,Twitter; Kashombo Donasian .heri mkuu
 
Back
Top Bottom