Munru
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 1,340
- 664
Mambo makubwa yanayotuadhiri Watanzania:
- Kwanza ELIMU, hii inafanya wananchi wengi kuamini siasa za porojo bila kujali ukweli halisia na hii itatupeleka pabaya kwa kuwa wengi tutafuata mkumbo.
- Pili UMASIKINI, unatufanya kukosa maamuzi kwa kurubuniwa kwa senti chache.
- Tatu UBINAFSI hasa kwa wale walioelimika kutokutaka kusimama katika kweli kwa maslahi yao bila kujali maslahi ya taifa.