Ujumbe wetu toka kwa Rais wetu Dr. Willibrord Slaa

Munru

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
1,340
664
Mambo makubwa yanayotuadhiri Watanzania:

  • Kwanza ELIMU, hii inafanya wananchi wengi kuamini siasa za porojo bila kujali ukweli halisia na hii itatupeleka pabaya kwa kuwa wengi tutafuata mkumbo.
  • Pili UMASIKINI, unatufanya kukosa maamuzi kwa kurubuniwa kwa senti chache.
  • Tatu UBINAFSI hasa kwa wale walioelimika kutokutaka kusimama katika kweli kwa maslahi yao bila kujali maslahi ya taifa.
 
ELIMU, UMASKINI, UBINAFIS......may be true! But other factors also operate behind the scene
 
Mambo makubwa yanayotuadhiri Watanzania:

  • Kwanza ELIMU, hii inafanya wananchi wengi kuamini siasa za porojo bila kujali ukweli halisia na hii itatupeleka pabaya kwa kuwa wengi tutafuata mkumbo.
  • Pili UMASIKINI, unatufanya kukosa maamuzi kwa kurubuniwa kwa senti chache.
  • Tatu UBINAFSI hasa kwa wale walioelimika kutokutaka kusimama katika kweli kwa maslahi yao bila kujali maslahi ya taifa.

Nne CCM
 
Back
Top Bottom