Ujumbe wetu toka kwa Rais wetu Dr. Willibrord Slaa

paty

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
1,280
Likes
198
Points
160

paty

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
1,280 198 160
Mambo makubwa yanayotuadhiri Watanzania:  • Kwanza ELIMU, hii inafanya wananchi wengi kuamini siasa za porojo bila kujali ukweli halisia na hii itatupeleka pabaya kwa kuwa wengi tutafuata mkumbo.
  • Pili UMASIKINI, unatufanya kukosa maamuzi kwa kurubuniwa kwa senti chache.
  • Tatu UBINAFSI hasa kwa wale walioelimika kutokutaka kusimama katika kweli kwa maslahi yao bila kujali maslahi ya taifa.
 
Mrdash1

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
1,379
Likes
6
Points
0

Mrdash1

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
1,379 6 0
Mambo makubwa yanayotuadhiri Watanzania:  • Kwanza ELIMU, hii inafanya wananchi wengi kuamini siasa za porojo bila kujali ukweli halisia na hii itatupeleka pabaya kwa kuwa wengi tutafuata mkumbo.
  • Pili UMASIKINI, unatufanya kukosa maamuzi kwa kurubuniwa kwa senti chache.
  • Tatu UBINAFSI hasa kwa wale walioelimika kutokutaka kusimama katika kweli kwa maslahi yao bila kujali maslahi ya taifa.
Nne CCM
 
Forum statistics

Threads 1,203,560
Members 456,824
Posts 28,118,700